WIMICKY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 1,428
- 1,571
Kuna mtu aliifuata?
Kuna mtu aliifuata?
NdioMkuu, betika wanaruhusu single bet..?
Wameshakokwa money lostYaani bado bila bila Benfica tuhurumie tumebeti hela za ada wallah
Kaongezewa la pili huyu falaBenifica anataka kututoa roho watu uku
Mkuu hawa benfica na Porto siyo wa kuwaamini mie washanichania mikeka yangu mingi,, siku hizi huwa nawachinjia tuu baharinBenifica anataka kututoa roho watu uku
PoleBenfica leo mara ya pili ananiharibia kazi. Dah!
🤣🤣🤣🤣KabisaBenficaa ni kikundi cha kihuni mnooo
Hahahaaa nshenzi.. mechi iliyopita alinifanya vibaya leo hata sijamgusa..Benficaa ni kikundi cha kihuni mnooo