Wakuu nimedeposite pesa kwenye new ac ya gal sport beting lkn kwenye ac naona tu bonus sioni pesa niliodeposite mwenye ujuzi anipe mwanga.



Sent from my TECNO R6 using JamiiForums mobile app
Apo mkuu ili isome baada ya kudeposit kawaida kwa simu hua Kuna sms ya code unatumiwa mda huohuo alfu ndio unaitumia kuithibitisha kwny akaunt yake then mzigo unasoma mda huohuo
 
Namshukuru Mungu odd 28 zote won
S00630-01094327.jpg
 
Wakuu betika ni kampuni ya kiboya sana nimetoa pesa tangu Jana lakinipaka Leo haijanifikia yaani hawa wahuni nawatabiria uharibifu tu watarudi kwao Kenya muda so mrefu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom