Mkuu unabetia kampuni gani. Maana mm npo parimatch hawana hii option ya RangePamoja sana mkuu. NdTo maana nawaambia hawa watu siku wakichoka kuliwa na kulalamika kila siku, akili zitakaa sawa.
Mkuu unabetia kampuni gani. Maana mm npo parimatch hawana hii option ya RangePamoja sana mkuu. NdTo maana nawaambia hawa watu siku wakichoka kuliwa na kulalamika kila siku, akili zitakaa sawa.
Mkuu unaeza nielekeza jins ya kutumia salio la bonus ya galabet??Kesho na keshokutwa, tukae hapa.View attachment 1486476
Kila match utakayochagua iwe na odds 1.50 na kuendelea at least chagua 5Mkuu unaeza nielekeza jins ya kutumia salio la bonus ya galabet??
Poapoa mkuu, shukranKila match utakayochagua iwe na odds 1.50 na kuendelea at least chagua 5
Tatizo hiyo kampuni yako sumbufu sana,ukidipose hela majanga tupu,,ila unaipa promo sana.
bro mbona sijaona kama anaipa promo. hiyo option sehemu nyingine ni ngumu kuipata yeye anaweka mkeka hafanyi promoTatizo hiyo kampuni yako sumbufu sana,ukidipose hela majanga tupu,,ila unaipa promo sana.
Sijakuelewa.kwamba usumbufu uko wapi haswa na mimi naitumia kutwa kucha. Naweka na natoa pesa kwa simu. Shida haswa nin? Kutumiwa code na kuiandika kwenye web tu ndo tatizo?Tatizo hiyo kampuni yako sumbufu sana,ukidipose hela majanga tupu,,ila unaipa promo sana.
Nashukuru ndugu. Hii ndo shida, ukijaribu kuleta fursa unaonekana kama unapromo kitu. In fact, sipati faida yoyote ile lakini kilichonipa pesa nimeona nishare na wana kwani watu tunaliwa mnobro mbona sijaona kama anaipa promo. hiyo option sehemu nyingine ni ngumu kuipata yeye anaweka mkeka hafanyi promo
Nimezingatia ushauri wakoGirona U3.5