Capture.JPG
 
Nashukuru ndugu. Hii ndo shida, ukijaribu kuleta fursa unaonekana kama unapromo kitu. In fact, sipati faida yoyote ile lakini kilichonipa pesa nimeona nishare na wana kwani watu tunaliwa mno
Ni hivi bro;kwa ushawishi wako nikajiunga wamenipa bonus lakini kuitumia majanga,nikaona isiwe tabu nikaweka pesa du! Hadi sasa ipo pending jambo ambalo si la kawaida kwenye haya makampuni ya betting,,hapo ndipo tatizo lilianzia..sorry kwa kukukwaza kwamba unaipa promo.
 
Ni hivi bro;kwa ushawishi wako nikajiunga wamenipa bonus lakini kuitumia majanga,nikaona isiwe tabu nikaweka pesa du! Hadi sasa ipo pending jambo ambalo si la kawaida kwenye haya makampuni ya betting,,hapo ndipo tatizo lilianzia..sorry kwa kukukwaza kwamba unaipa promo.
Pending sababu hujakamilisha process mzee. Ukishadeposit pesa kuna msg watakutumia ambayo ndani yake kuna code unayoikopi na kuandika hapo palipoaandikwa code. Ukishafanya hivyo pesa inawekwa chap tu!
Screenshot_20200623-213201.jpg
 
Kuna option nilikua nacheza MCHEZA

Exactly 1 goal in the match YES/NO ilikua inanipa hela.

Ila toka wafanye marekebisho siioni tena, nimewahama.

Kama kuna mtu ameshakutana nayo kwenye kampuni nyingine tufahamishane
 
Kwa wanaouliza kuhusu goli ranges, hii kampuni ni Galsport lakini pia hata Meridian ipo japo huwa wanabagua mechi za kuweka. Na Galsport naweka na kutoa kwa simu vilevile.

Alafu kwa mechi za kibongobongo, mfano Simba akiwa home au Yanga na Azam wakiwa home dhidi ya midtable teams, weka range ya 1-4, kama hofu sana weka 1-5.

Zingatia hawa wanaoonekana kuwa na uwezo wa kuwin game, wawe home, asilimia zinakuwa kubwa zaidi.

Kwa wale wa goal ranges, mechi hizi hapa za wiki nzima hii turuke nazo...

Kizuri kula na nduguyo.View attachment 1487109View attachment 1487110View attachment 1487111
Hapo leicester ashachana tayari wametoa 0-0

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Hii option ya 1-6 iko vizur sana, ukichungulia tu kua mechi lazima itapata goli ndo la msingi hyo kuzid magoli sita sio rahisi, nimeukubal mchezo wako n asilimia 85 sure
Yes mkuu. Ni kuchungulia tu kwamba hata.moja litakuwepo? Kama ndio, umeyeya!
 
Booking Number:ZRMWQMT23/06/2020 13:46:59

Code 1349
Date 23/06/2020 18:30
Event Spal - Cagliari
Live/Prematch Prematch
Selection 2

2.74 odds
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š

GAME WON πŸ’šπŸ’―πŸ€‘

Ⓜ️
@chikamadu

✳Tammy bet tipsβœ³πŸ’―
 
Booking Number:ZRMBMQL23/06/2020 15:49:58

Code 1346
Date 23/06/2020 17:00
Event Korona Kielce - Rakow Czestochowa
Live/Prematch Prematch
Selection 2
2.38 odds
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š
πŸ’šπŸ’šπŸ€‘πŸ’šπŸ’š

GAME WON πŸ’šπŸ’―πŸ€‘

Ⓜ️
@chikamadu


✳Tammy bet tipsβœ³πŸ’―
 
KWA WALIIOCHEXA CHCK UR BALANCE

Booking Number:ZRM7T8523/06/2020 16:10:09

Code 1286
Date 23/06/2020 19:30
Event Aarau - Wil 1900
Live/Prematch Prematch
Selection X HT
2.19 odds
βœ…βœ…πŸ€‘βœ…βœ…
βœ…βœ…πŸ€‘βœ…βœ…
βœ…βœ…πŸ€‘βœ…βœ…
βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

Code 1338
Date 23/06/2020 17:15
Event Schaffhausen - Chiasso
Live/Prematch Prematch
Selection X HT
2.08 odds
βœ…βœ…πŸ€‘βœ…βœ…
βœ…βœ…πŸ€‘βœ…βœ…
βœ…βœ…πŸ€‘βœ…βœ…
βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

(4.58 odds)
πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘
πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘
πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘

GAME WON πŸ€‘πŸ’šπŸ’―

Ⓜ️
@chikamadu

✳Tammy bet tipsβœ³πŸ’―
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom