Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/JzqrDHatQLoBuIFM003n9s


Mida ya pesa
IMG_20190902_082340_317.jpeg
 
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/JzqrDHatQLoBuIFM003n9s


Mida ya pesaView attachment 1195558
We Jama hua nakushangaa sana na masuala yako ya kuleta link watu wa join whatsapp

Mwanzo kabisa uli leta link ya kujiunga watu tuka jiunga badae ukaja remove watu karibu wote uka jitetea ooooh sijui nn nn uko kuna mdau alidai humu humu kua ulikua una hitaj mtu alipe ndo umrudishe nika potezea

Wakati mwingne tena uka tengeneza grp lingne uka weka link tuka join tips za kutosha +inplay za wadau uka anza tena kuwa chomoa chomoa watu mi hua nashindwa kuelewa hua una dhamiria nn kutu tangazia watu tujoin grp lako kisha badae una anza kutu toa toa

Ni heri kua muwazi kabla huja karibisha watu wajoin ueleze dhamira yako kabsaa kua kutakua na gharama kwa mtu ambae hachangii ama hatumi tips umo kwa grp maana unacho kifanya ulkua una angalia watu ambao kwny grp wana michango michache una wa remove kwa taarfa yako tu ni kua sio kila anae kuapo kweny grp anakua mda wote ana changia changia wengne uki ingia KAZINI/Ofisini ni kaz mfululizo mpka mida ya lunch ndo una gusua simu huo muda wa kuanza kuchambua mechi una toka wapi il izo tips uweze kutuma?

Sioni mantiki ya kutuletea hiyo link maana najua mkisha fika idadi baada ya muda utaanza tena upuuzi wa kuondoa tena watu kweny ilo grp

Ina kera sana ndo maana tuna kataa magrp humu....
 
atletico ni bingwa mwaka huu


Walinijambisha jana hawa jamaa sina hamu nao. Nlipoona ameshapigwa 0-2 si nikachungulia kitufe cha ku-Turbo Payout, nikaona kiko active. Nikaturbo kwa hasara fastaaa ... daaah baadae nakuja kuchungulia wameshinda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom