Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo1-1&2+ nahisi ashinde wa nyumbani halafu goli zake zianzie mbili yaani 2-1,3-1
Hiyo x-1&2+ nahisi ni mechi iishe draw ambapo wa nyumbani aanzie goli mbili mfano 2-2,3-3
Hapana!!! 1-1&2+ maana yake wa nyumbani aongoze kipindi cha kwanza na ashinde mwisho wa siku na yapatikane magoli 2 na kuendelea hizi option ndo zile zinaitwa halftime/full time and 2+ hapa ikitokea halftime wametoka draw mkeka unakuwa umechanika huo.

X-1 & 2+ maana yake kipindi cha kwanza matokeo yawe draw lakini second half inabidi huyo wa nyumbani ashinde na matokeo ya magoli yawe kuanzia 2 nakuendelea so hapa mfano half time wakitoka 0:0 halafu second half matokeo yakawa 1:0 mkeka unakuwa umechanika maana yaahitajika ushindi lakini kuwe na magoli 2 na kuendelea!! Ovrrr
 
Komaa nao siku za kazi Mon-Friday kupitia kwenye namba yao iliyopo kwenye app yao chini,navyosema komaa namaanisha,utapata tu haki yako,hata mimi iliwahi nitokea...
Wakuu inakuwaje Premierbet Ukitoa pesa Wanakataa unakuja ujumbe wa NOT ALLOWED DUE TO PLAYER BLOCK mbona kuingiza iliingia kwa haraka?
msaada please
 
mi nikiweka stake ndogo nakula nikiweka kubwa ...yananikuta makubwa daaaah
Screenshot_20190901-225526.jpeg
 
Kama Kuna kampun imeacha option ya red kwa game ya Boca junior nenda kacheze ipo Mana Kule refa ilekad anatembea huku kaishika mkonon yellow za kumwaga.

Kihistoria ile game kushindia home group n inshu Sana n River plate tuu ndo kaweza kushinda home hapo majuz ila zingine n away au draw.

Jaribu bahat yako away/draw kulingana na historian

Ila game yaleo Boca junior kazidiwa
 
Xhanks mkuu

Back
Top Bottom