69ff2ea054125d5d7c63478298945b40.jpg

Sijatumia siku nyingi Mkekabet leo nimeingia nakutana na option ya ku-cash out
 
Tuliokuwa wote kwenye hii safari amebaki Victoria Plzen pekee tupendeze weekend. Tuombe asiwe agent wa Kanji leo, maana hizi timu zinazobaki mwishoni sometimes wanakuwaga na surprises
Nilikufuata mkuu yaan hapa natetemeka mwili mzima stake niliyoweka daaa cjielewi aiseee haha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom