ajabu.PNG
Siamini kama hadi muda huu premierbet hawaweka matokeo kwenye mechi hii wakati mechi imemalizika jana ingawa imechelewa...ila hadi now no updates Al Arab alishinda 2-0
 
Man u vs Newcastle man u win
Leganes vs Barcelona Barcelona win
Inter vs atalanta double chance inter
Burnley vs Swansea double chance Burnley
Schalke 04 vs hamburger double chance schalke 04
Stake 10000

Umekaa vizuri ,ila Kwa Inter hapo 1X mie nabadilisha naweka 12
 
KWANINI uji ingize kwenye maisha ya kubet..... hivi hakuna njia ilio sahihi ya kutengeneza 500 ikupe pesa zaidi?
 
KWANINI uji ingize kwenye maisha ya kubet..... hivi hakuna njia ilio sahihi ya kutengeneza 500 ikupe pesa zaidi?
Naona unawashwa na Pesa za watu, unazipangia namna ya kuzizalisha ni zako? Yaani siku nzima umewaza huu upuuzi wa dada zako ukaja kuuandika hapa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom