Wadau, kuna yeyote aliyedeposit Premierbet leo anijuze km kuna issues km jana? ... nataka nideposit pesa nyingine, ile ya jana haijarudi mpk leo.
Hawa wapuuzi mpaka sasa saoio lipo pending nimepiga voda wanadai muamala kutoka kwao ulikamilika ila kampuni husika ndo wanazingua. Vipi kwa upande wako imesha soma?
 
Hawa wapuuzi mpaka sasa saoio lipo pending nimepiga voda wanadai muamala kutoka kwao ulikamilika ila kampuni husika ndo wanazingua. Vipi kwa upande wako imesha soma?

Yeah mkuu, mimi wameshaniwekea ... toka mida ya saa 6 mchana.
 
Ile kitu ni nzuri kama una hela kuanzia laki una uhakika wa kupata zaidi ya 35000 kila dakika 6 maana yake unaweza weka saa moja tu kwa siku ukapata 70 kila siku kwa saa 1 tu

The Higher the risk, The higher the return
Mkuu root nitakuuliza maswali kadhaa usipo yajibu bado utakuwa hujatusaidia sisi wadau wengine.

Unatumia sababu gani kuamini kuwa timu fulani inashinda wakati kule hakuna kufuatilia historia ya timu?

Au unacheza na wingi ama uchache wa odds?

Tuambie ni mbinu gani unatumia kuweza ku tengeneza faida au una place tu bet yako?

Majibu tafadhali. Ukimya wako ktk hili ndio kushindwa kwetu tusio jua mbele wala nyuma.

Nakala imfikie koncho77
 
Hahaha ... wanatutamanisha af mitaji tunayo tunabaki kuliwa ... waJapani wamenivuruga sn mamaee, wamesepa na 200K yangu mchana kweupeee ...
 
Nami nahitaji niwatumie mikeka humu lkn nashindwa kutuma ebu nielekeze maana nikichukua picha scleen shot nikitaka ipost hapa inagoma nijurishe naenda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
eaa8a0cf4644332d2ac910c0a0ca5db6.jpg

Angalia hiyo Screenshot. Sasa unachotakiwa ni kuwa kama unataka kuandika Message, alafu bofya hivyo vialama vya chini hapo. Hiyo ipo kama """PembeNne"""

Jaribu uniambie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom