Ashraf omar
Member
- Feb 17, 2011
- 67
- 49
DuuuuhAhahahahah mimi mpaka sasa nimeshapata 252000 na nimefunga biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuuuhAhahahahah mimi mpaka sasa nimeshapata 252000 na nimefunga biashara
Hawa wapuuzi mpaka sasa saoio lipo pending nimepiga voda wanadai muamala kutoka kwao ulikamilika ila kampuni husika ndo wanazingua. Vipi kwa upande wako imesha soma?Wadau, kuna yeyote aliyedeposit Premierbet leo anijuze km kuna issues km jana? ... nataka nideposit pesa nyingine, ile ya jana haijarudi mpk leo.
Hawa wapuuzi mpaka sasa saoio lipo pending nimepiga voda wanadai muamala kutoka kwao ulikamilika ila kampuni husika ndo wanazingua. Vipi kwa upande wako imesha soma?
Kwa m pesa? Au umeamua kutumia njia nyingineYeah mkuu, mimi wameshaniwekea ... toka mida ya saa 6 mchana.
Mkuu root nitakuuliza maswali kadhaa usipo yajibu bado utakuwa hujatusaidia sisi wadau wengine.Ile kitu ni nzuri kama una hela kuanzia laki una uhakika wa kupata zaidi ya 35000 kila dakika 6 maana yake unaweza weka saa moja tu kwa siku ukapata 70 kila siku kwa saa 1 tu
The Higher the risk, The higher the return
Kwa m pesa? Au umeamua kutumia njia nyingine
Da mi bado ngoja nikomae naoYes, kwa M-pesa ... pesa niliyodeposit jana ndio wameiweka mida ya saa 6 hvi.
Mkuu root nitakuuliza maswali kadhaa usipo yajibu bado utakuwa hujatusaidia sisi wadau wengine.
Unatumia sababu gani kuamini kuwa timu fulani inashinda wakati kule hakuna kufuatilia historia ya timu?
Au unacheza na wingi ama uchache wa odds?
Tuambie ni mbinu gani unatumia kuweza ku tengeneza faida au una place tu bet yako?
Majibu tafadhali. Ukimya wako ktk hili ndio kushindwa kwetu tusio jua mbele wala nyuma.
Nakala imfikie koncho77
Nami nahitaji niwatumie mikeka humu lkn nashindwa kutuma ebu nielekeze maana nikichukua picha scleen shot nikitaka ipost hapa inagoma nijurishe naenda wapi?
Waje na majibu hapa hahaha sio kutwambia tumetengeneza faida kadhaa bila kutuelimisha na sisi.Hahaha ... wanatutamanisha af mitaji tunayo tunabaki kuliwa ... waJapani wamenivuruga sn mamaee, wamesepa na 200K yangu mchana kweupeee ...
Nami nahitaji niwatumie mikeka humu lkn nashindwa kutuma ebu nielekeze maana nikichukua picha scleen shot nikitaka ipost hapa inagoma nijurishe naenda wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
wajapan waxenge wameshaharibu
Nimejaribu inanasema infortunaty my pcher has stop
Angalia hiyo Screenshot. Sasa unachotakiwa ni kuwa kama unataka kuandika Message, alafu bofya hivyo vialama vya chini hapo. Hiyo ipo kama """PembeNne"""
Jaribu uniambie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au hili file natumia sio zuri maana natumia jamii forums mobile app.