Kwa wale waliompa Genk vs eupen majuzi ..
Na kwa wale waliompa genk over 1.5 .. hatuna budi kumshukuru samatta ..hahaha umuhimu waje unaonekana...
 
jamani mimi nataka kuanza na formula mpya nina izindua leo ipo hivi
WIN_20170125_13_08_12_Pro.jpg

Hiyo 2 ya kwanza ni jumla ya odds kwa kila siku ( yaani nakuwa natafuta odds 2 tu kila siku)
hiyo n-1 ni siku ambazo nitacheza mechi na hiyo m ni mtaji nitakao anza nao nataka kuanza na mtaji mdogo tu wa 1000 :D:D:D:D:D:D:D:D
kama ikitokea nimecheza siku 10 bila kuliwa nitakuwa nimetegeneza sh. 1,024,000

hizi zinaitwa akili za mchana kichwa kikiwa kimepata moto:D:D:D:D:D:D
 
Wakuu naombeni tushirikiane kutafuta Odds 100+ kwa ajili ya weekend,binafsi nataka nirisk kama 20K hv kwenye hilo kokoro.

Ni vizuri tufuate most probable(less risky)options hata kama slip itakuwa na games nyingi but target iwe ni odds 100 na kuendelea.Binafsi nimeanza hivi so nategemea ushauri wapi nibadili na wapi pako sawa.

View attachment 463610

Odds 428 hapo.
cc Buddy nyegere86 Mtoto wa nzi koncho77 jaykiwele Mr. Wise na wengine wote.

Mkuu hapo Arsenal anaweza kutoa 3+ kweli? Kwanini tusiweke 1.5+?
 
jamani mimi nataka kuanza na formula mpya nina izindua leo ipo hivi
View attachment 463657
Hiyo 2 ya kwanza ni jumla ya odds kwa kila siku ( yaani nakuwa natafuta odds 2 tu kila siku)
hiyo n-1 ni siku ambazo nitacheza mechi na hiyo m ni mtaji nitakao anza nao nataka kuanza na mtaji mdogo tu wa 1000 :D:D:D:D:D:D:D:D
kama ikitokea nimecheza siku 10 bila kuliwa nitakuwa nimetegeneza sh. 1,024,000

hizi zinaitwa akili za mchana kichwa kikiwa kimepata moto:D:D:D:D:D:D

... I wish you all the best Chief, usije kuja kuvurugwa tu in the process ukaisahau na formular yenyewe

sasa hiyo stake ni incremental au constant?
 
Ukianza na 10K ni 20,480,000/=TZS before kodi for 11 days.Teh teh..tatizo ni kupata Odd 2 za uhakika in a daily basis.Ila mh hii formula ina mapungufu,hiyo stake inakuwa mpya kila siku au una deduct kutoka kwenye ulichoshinda the previous day?
 
Mwenye no ya uduma ya Premiour bet ,nmeweka salio toka sa tono had sasa halijasoma.
 
Asteras Tripolis - Trikala
Asteras Tripolis
1.44

Aris Thessaloniki FC - Olympiacos FC
Olympiacos Piraeus
1.48

Celtic FC - FC St Johnstone
Celtic Glasgow
1.26

Sivasspor - Basaksehir FK
X/2
1.42

Parana Clube PR - Avai SC
X/2
1.48

Leeds Utd - Nottingham Forest
1/X
1.19

Odds: 6.72
 
... I wish you all the best Chief, usije kuja kuvurugwa tu in the process ukaisahau na formular yenyewe

sasa hiyo stake ni incremental au constant?
Ukianza na 10K ni 20,480,000/=TZS before kodi for 11 days.Teh teh..tatizo ni kupata Odd 2 za uhakika in a daily basis.Ila mh hii formula ina mapungufu,hiyo stake inakuwa mpya kila siku au una deduct kutoka kwenye ulichoshinda the previous day?

nataka hiyo hela ninayo kula ndo naifanya stake ya kesho yake kwa maana hiyo inakuwa inaji double kila siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom