Wakuu naombeni tushirikiane kutafuta Odds 100+ kwa ajili ya weekend,binafsi nataka nirisk kama 20K hv kwenye hilo kokoro.
Ni vizuri tufuate most probable(less risky)options hata kama slip itakuwa na games nyingi but target iwe ni odds 100 na kuendelea.Binafsi nimeanza hivi so nategemea ushauri wapi nibadili na wapi pako sawa.
View attachment 463610
Odds 428 hapo.
cc Buddy nyegere86 Mtoto wa nzi koncho77 jaykiwele Mr. Wise na wengine wote.
jamani mimi nataka kuanza na formula mpya nina izindua leo ipo hivi
View attachment 463657
Hiyo 2 ya kwanza ni jumla ya odds kwa kila siku ( yaani nakuwa natafuta odds 2 tu kila siku)
hiyo n-1 ni siku ambazo nitacheza mechi na hiyo m ni mtaji nitakao anza nao nataka kuanza na mtaji mdogo tu wa 1000
kama ikitokea nimecheza siku 10 bila kuliwa nitakuwa nimetegeneza sh. 1,024,000
hizi zinaitwa akili za mchana kichwa kikiwa kimepata moto
Poa,jambo jemba.Mkuu hapo Arsenal anaweza kutoa 3+ kweli? Kwanini tusiweke 1.5+?
Ukianza na 10K ni 20,480,000/=TZS before kodi for 11 days.Teh teh..tatizo ni kupata Odd 2 za uhakika in a daily basis.Ila mh hii formula ina mapungufu,hiyo stake inakuwa mpya kila siku au una deduct kutoka kwenye ulichoshinda the previous day?jamani mimi nataka kuanza na formula mpya nina izindua leo ipo hivi
View attachment 463657
Hiyo 2 ya kwanza ni jumla ya odds kwa kila siku ( yaani nakuwa natafuta odds 2 tu kila siku)
hiyo n-1 ni siku ambazo nitacheza mechi na hiyo m ni mtaji nitakao anza nao nataka kuanza na mtaji mdogo tu wa 1000
kama ikitokea nimecheza siku 10 bila kuliwa nitakuwa nimetegeneza sh. 1,024,000
hizi zinaitwa akili za mchana kichwa kikiwa kimepata moto
jamani mimi nataka kuanza na formula mpya nina izindua leo ipo hivi
View attachment 463657
Hiyo 2 ya kwanza ni jumla ya odds kwa kila siku ( yaani nakuwa natafuta odds 2 tu kila siku)
hiyo n-1 ni siku ambazo nitacheza mechi na hiyo m ni mtaji nitakao anza nao nataka kuanza na mtaji mdogo tu wa 1000
kama ikitokea nimecheza siku 10 bila kuliwa nitakuwa nimetegeneza sh. 1,024,000
hizi zinaitwa akili za mchana kichwa kikiwa kimepata moto
Mpe 2+ au wafunganeMadrid anapenya kwa celta pls mpe Madrid ...
... I wish you all the best Chief, usije kuja kuvurugwa tu in the process ukaisahau na formular yenyewe
sasa hiyo stake ni incremental au constant?
Ukianza na 10K ni 20,480,000/=TZS before kodi for 11 days.Teh teh..tatizo ni kupata Odd 2 za uhakika in a daily basis.Ila mh hii formula ina mapungufu,hiyo stake inakuwa mpya kila siku au una deduct kutoka kwenye ulichoshinda the previous day?
Kama huna amani weka 2+Celta vigo atashinda kweli au kujaribu jaribu akinasa kaumia