JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,667
Safi mkuu, usisahau kushare hapa....week hii nataka kutembelea nyota yakoKuna mkeka mwingine umeanza kupikwa leo ule ina odds kama 5000 hivi zote over 2
Safi mkuu, usisahau kushare hapa....week hii nataka kutembelea nyota yakoKuna mkeka mwingine umeanza kupikwa leo ule ina odds kama 5000 hivi zote over 2
imependeza,thanks dr.LUIS!AMIENS VS MONACO DRAW ITAPENDEZA!
30 MZUKANa mimi nimetest 30 zangu hizo stake jeroView attachment 632642View attachment 632643View attachment 632644
Utawaelewattuu
Washenzi hao Monaco kanikosesha million kadhaa, timu pekee naisubiri ila ndo mambo yakaharbikaimependeza,thanks dr.LUIS!
Kawasaki Frontale
Hizo hapo za kesho
Tuko pamoja muwekezaji mwenzangu.ushauri umezingatiwa asante..
japo nikiketa wa hockey hakuna aliye fata.
nikaketa ushauri juu ya draw first half kwenye under21 hakuna hata mmoja liye jihangaisha.
Hii pesa