AfisaUbashiriMwandamizi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 804
- 1,139
Hiyo mechi ya swansea ireview tena, likely itakuchania hii code.
Hiyo mechi ya swansea ireview tena, likely itakuchania hii code.
Kwa hii no comment, hizi timu zote sizijui kabisa.
Hiyo mechi ya southermpton ni nadra kuwa na hayo matokeo uliyoweka. Irekebishe.
Revise tena ya Porto, ipo over 1.5 goals, na siyo over 2.5 goals kama ilivyokuwa na typing error mwanzoni.8556C7B4 CODE Sporty
Nakubal sana mzeeWikendi hii cheza hii code ule pesa, hizo ngumu kumeza zako zinachana sana. Punguza makasiriko.
Mechi 11 tarehe 20 & 21 January 2024, na afisa ubashiri mwandamizi.
Epl:
-Liverpool vs Bournemouth: both teams to score/GG - yes,
Bundesliga:
-RB 0Leipzig vs Bayer Leverkusen: both teams to score/ GG - yes,
-Bayern Munich vs Werder Bremen: over 2.5 goals,
-VFL Bochum vs VfB Stutgart: over 1.5 goals,
La Liga:
-Girona vs Sevilla: double chance (DC) - Girona win or draw (1X),
-Real Madrid vs UD Almeria: Real Madrid win,
-Valencia CF vs Athletic Bilbao: both teams to score/GG - yes,
-Real Betis Seville vs FC Barcelona: both teams to score/GG - yes,
Eredivisie:
-FC Ulrecht vs PSV: FT over 2 5 goals,
-Ajax vd RKC Waalwajk: FT over 2.5 goals,
Liga Portugal:
-FC Porto vs Moreirense FC: over 1.5 goals.
By the way Bado niko vizuri man... Kwa code za kimkakati nacashout kwa faida.... Still narun on profit... Ingawa si habaWikendi hii cheza hii code ule pesa, hizo ngumu kumeza zako zinachana sana. Punguza makasiriko.
Mechi 11 tarehe 20 & 21 January 2024, na afisa ubashiri mwandamizi.
Epl:
-Liverpool vs Bournemouth: both teams to score/GG - yes,
Bundesliga:
-RB 0Leipzig vs Bayer Leverkusen: both teams to score/ GG - yes,
-Bayern Munich vs Werder Bremen: over 2.5 goals,
-VFL Bochum vs VfB Stutgart: over 1.5 goals,
La Liga:
-Girona vs Sevilla: double chance (DC) - Girona win or draw (1X),
-Real Madrid vs UD Almeria: Real Madrid win,
-Valencia CF vs Athletic Bilbao: both teams to score/GG - yes,
-Real Betis Seville vs FC Barcelona: both teams to score/GG - yes,
Eredivisie:
-FC Ulrecht vs PSV: FT over 2 5 goals,
-Ajax vd RKC Waalwajk: FT over 2.5 goals,
Liga Portugal:
-FC Porto vs Moreirense FC: over 2.5 goals.
Mpira ukidunda anaweza pata, kwa sababu mpira unamatokeo manne.Yule wa matangazo ya makampuni ya kubeti hajaamka bado.
Tuachane na hayo, wenzangu arsenal mkimwangalia anaweza kupata goli 2?
Mpira una matokeo ma4!.... Hebu fafanua hapa mkuu...Mpira ukidunda anaweza pata, kwa sababu mpira unamatokeo manne.
Ila wikendi hii Arsenal siyo ya kuweka kwenye mkeka wowote wa kimkakati.
Kwa EPL ni uhakika zaidi kuipa Liverpool GG - yes, mechi zingine tia maji.
Leo nimetoa direct win Kwa Sunderland
Nimeweka kibunda Cha maana kwelikweli
Kuna phase ya betting unakuwa unapata kitete wakati wa kusuka mkeka hususani ukiwa na dau kubwa. Wakati ukiwa na dau dogo au ukiwa huna nia ya kucheza unasuka mkeka safi sana.Daah
Tokeo la nne ni mechi kufutwa (abandoned) na odd husika kupunguzwa kwenye mkeka husika.Mpira una matokeo ma4!.... Hebu fafanua hapa mkuu...
Pengine Kuna aina mpya ya matokeo imeingia sijui!!( imeongezeka!)... Badala ya matokeo ma3 yanayofahamika...
Fafanua hilo tokeo la 4 ni lipi!?
itume tena code mkuuTahadhari maafisa:
Kuna mkeka nashare hapa toka jana ijumaa, mechi ya Porto inaonesha over 2.5 goals, ila kiuhalisia nilitaka andika over 1.5 goals. Naomba wote walioichukua hiyo mechi wafanye marekebisho husika, japokuwa mpira unadunda na mechi ya Porto yaweza toa over 2.5 goals. Ila ni salama zaidi ipa hiyo mechi over 1.5 goals.
mechi kuharibika na kuahirishwa kabla ya dk 90Mpira una matokeo ma4!.... Hebu fafanua hapa mkuu...
Pengine Kuna aina mpya ya matokeo imeingia sijui!!( imeongezeka!)... Badala ya matokeo ma3 yanayofahamika...
Fafanua hilo tokeo la 4 ni lipi!?
Haka kaAPP kanaitwaje kiongotzi....
itume tena code mkuu
Mechi 11 tarehe 20 & 21 January 2024, na afisa ubashiri mwandamizi.ndicho unachoweza tu humu
Hapo stuttgart pekee ndiyo naifahamu, hizo timu zingine sijawahi zifuatilia kabisa.Reply kwa code yake SPORTYBETView attachment 2877215
Dah... jaribu kuwa mstaarabu aise. Unakuwa na lugha mbaya sana. Hadi sasa huu uzi unakuwa wa wahuni tu. Inakera aisee.Mbona unapenda kunichekea chekea kwenye post zangu mkuu!?...
Funguka! Ama unaitaka Ile Ile kitu isiyo na mabega!...nikupee!?
Sipendi shobo! Acha supu yangu iteremke vizuri usiniharibie siku!... Huwa Nina hasira za karibu!
Natamani hata hii Jf ifunguke ndani tuonane uso kwa uso. .. ili tuumane vizuri!!!