Kuosha Vyombo

Kama vyombo vyenyewe ni ni masufuria ya aluminium/stainless steel na mabakuli/sahani ya plastic, kauli au udongo ni ruksa. Ila kama ni vile vyombo visivyoruhusiwa kuwekwa wazi kwenye public ingawa watu wote wanajua kuwa vina-exist haina tija kabisa!!

Hivi ni vile vyombo ambavyo viko hilo kundi la pili, hivyo basi tusivunje miiko ya kiafrika. Mimi na ww hatuwezi jadiliana juu ya kuviosha hivyo vyombo.
 
NN na The Finest, hivi si vyombo vya udongo wala plastiki, karatasi wala steel.
Sasa ndo mchanganye na zenu mjue ni vyombo gani huyu mzee anazungumzia.
 
Aka babu, sie waume zetu ruksa kuoa mpaka wanne, sasa akiwa na hamu si anaongeza mwingine tu kihalali, na hao wanne wakimchosha anaacha na kuoa wengine kihalaaali, labda awe hafati maamrisho na anafanya dhulma. Maana hamna dhulma na ufisadi kama kutembea na mwanamke mwingine kiharaam wakati unae wa halali, kama Slaa PhD wa kanoni bila degree hata moja, hali kadhalika mwanamke kutembea nje ya ndoa, hususan ikifikia kuwa unautangazamia umma unaokutazama kama kioo cha maadili katika jamii kuwa unataka kuzaa nje ya ndoa kama alivyofanya Halima Mdee. Looooo!

hovyoooooooooooooo!
 
Kwa kweli sijui hata ulichomaanisha. Utajali kunielewesha? Kama swali langu ni la kipumbavu na kijinga basi niwie radhi. Nimeuliza kwa kutaka kujua tu na si kwa ubaya

Kuhusu mbayu wayu?

Ni msemo tu ule wa JK...Kwamba akili ya mbayu wayu inatueleza kuwa..."akili ya kuambiwa basi na wewe changanya na zako ndo ufanye maamuzi".

Kwa hiyo hiyo tafsiri ya vyombo kwa upande wangu inabaki kuwa kama issue ya mbayu wayu!!!

Bado sijaeleweka?
 
...khaaa!

The Finest na Nyani Ngabu mmeporomosha makabati kukagua vyombo :bounce:.
Iwe ni kibakuli au mwiko, 'thamani ya chombo aijuae mwenye mali (na mwoshaji!)'
 
Aka babu, sie waume zetu ruksa kuoa mpaka wanne, sasa akiwa na hamu si anaongeza mwingine tu kihalali, na hao wanne wakimchosha anaacha na kuoa wengine kihalaaali, labda awe hafati maamrisho na anafanya dhulma. Maana hamna dhulma na ufisadi kama kutembea na mwanamke mwingine kiharaam wakati unae wa halali, kama Slaa PhD wa kanoni bila degree hata moja, hali kadhalika mwanamke kutembea nje ya ndoa, hususan ikifikia kuwa unautangazamia umma unaokutazama kama kioo cha maadili katika jamii kuwa unataka kuzaa nje ya ndoa kama alivyofanya Halima Mdee. Looooo!
Depone Lamprophony
 
Kuhusu mbayu wayu?

Ni msemo tu ule wa JK...Kwamba akili ya mbayu wayu inatueleza kuwa..."akili ya kuambiwa basi na wewe changanya na zako ndo ufanye maamuzi".

Kwa hiyo hiyo tafsiri ya vyombo kwa upande wangu inabaki kuwa kama issue ya mbayu wayu!!!

Bado sijaeleweka?

Nimekuelewa sasa. Athari za ushawishi wa Mwanakijiji ndo hizi sasa. Yaani mtu unajikuta unalichambua neno moja zaidi ya hata lilivyochambuliwa kwenye kamusi. Yale yale mambo ya ‘it depends on what the meaning of "is" is'…..Mwanakijiji anaifahamu vyema sana hiyo. Classic line.
 
...khaaa!

The Finest na Nyani Ngabu mmeporomosha makabati kukagua vyombo :bounce:.
Iwe ni kibakuli au mwiko, 'thamani ya chombo aijuae mwenye mali (na mwoshaji!)'
Mkuu mimi mpaka sasa hivi :confused2::confused2: Mwanakijiji naye kaingia mitini, halafu Mbu si unajua vyombo vingine vikipata ufa inabidi uvitupe tu.
 
Umeona eeeh? Watu ama wanahisi tu kilichomaanishwa au wanatafsiri vile wadhaniavyo alivyomaanisha. Na haina maana sisi hatuwezi kufanya hivyo. Mimi nataka Mzee mwenyewe aje aeleze kinagabaga kile alichokimaanisha yeye.
 
...inategemeana na huop ufa. Kama ufa haunikeri wala kunidhuru mtumiaji....!
 
Hahahaha!!! Mimi naona watu wanahangika na sijui sabuni za kuoshea vyombo kumbe mzee mzima yuko deep maana ukisoma kijujuu tu unaishia kuwaza vyombo tu.

Mbu unajua ule ufa ukiwa umekaa vibaya unaweza kukukata
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahaha!!! Mimi naona watu wanahangika na sijui sabuni za kuoshea vyombo kumbe mzee mzima yuko deep maana ukisoma kijujuu tu unaishia kuwaza vyombo tu.

Mbu unajua ule ufa ukiwa umekaa vibaya unaweza kukukata

TF,

Mimi nilijua hukuelewa kwa ssababu ya mambo ya umri na uzoefu au??? Utayajua tu haya mambo muda wake ukifika!
 
Code:
Sijui  kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote  mlikuwa na njaa, mkaenda  jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na  mkakipenda chakula. Mkakaa  chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia  na mvinyo kidogo. Baadaye  mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo.  Hii kweli ni sahihi? Ni  lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo  kama mlivyoshirikiana  kupika na kula? Ni swali tu.

Hili ninaliona kama ni fumbo............................kupik chakula hiki cha kawaida au kile cha kitandani?...............nauliza tu wanandugu...............msinikasirikie wajamani................................
 
Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.

Vyombo gani unavyozungumzia hapa mkjj!? Vyombo vyombo!? au vyombo vipi? maana kama alivyosema NN, ni kweli kwamba si ajabu unaweza kuwa unazungumzia vyombo tofauti kabisa...

YouTube - ‪Rihanna - Only Girl (In The World)‬‏
 
Nielewavyo kila mmoja aoshe vyombo vyake alivyovitumia au alivyokuja navyo..................
 
Hahahaha!!! Mimi naona watu wanahangika na sijui sabuni za kuoshea vyombo kumbe mzee mzima yuko deep maana ukisoma kijujuu tu unaishia kuwaza vyombo tu.

Mzee mzima yuko deep kinomanoma. Na kweli ukisoma kijuu juu hitimisho litakuwa anazungumzia mambo yale ya kufanya matusi. Lakini kwa jinsi nimjuavyyo jamaa, huenda ikawa hata hazungumzii hayo mambo ya matusi.

It's really sad when prurience is the first thing that comes to people's minds. Get your minds out of the gutter people. Geeeez
 
Mzee mzima yuko deep kinomanoma. Na kweli ukisoma kijuu juu hitimisho litakuwa anazungumzia mambo yale ya kufanya matusi. Lakini kwa jinsi nimjuavyyo jamaa, huenda ikawa hata hazungumzii hayo mambo ya matusi.

It's really sad when prurience the first thing that comes to people's minds. Get your minds out of the gutter people. Geeeez
The Following User Says Thank You to Nyani Ngabu For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Back
Top Bottom