Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mzima yuko deep kinomanoma. Na kweli ukisoma kijuu juu hitimisho litakuwa anazungumzia mambo yale ya kufanya matusi. Lakini kwa jinsi nimjuavyyo jamaa, huenda ikawa hata hazungumzii hayo mambo ya matusi.
It's really sad when prurience the first thing that comes to people's minds. Get your minds out of the gutter people. Geeeez
Aliwahi kushusha shairi hapa jamvini la kuosha vyombo, mpaka nalimaliza kulisoma ndio nikagundua kwamba vyombo vile si vyombo kama vinavyojulikana na wengi, bali kama vinavyojulikana na Mkjj, si ajabu na hii thread anamaanisha vyombo hivyo hivyo! Hahahahah lol! Mkjj noma sana.
Hahahaha!!! Mkjj noma sana banaaaAliwahi kushusha shairi hapa jamvini la kuosha vyombo, mpaka nalimaliza kulisoma ndio nikagundua kwamba vyombo vile si vyombo kama vinavyojulikana na wengi, bali kama vinavyojulikana na Mkjj, si ajabu na hii thread anamaanisha vyombo hivyo hivyo! Hahahahah lol! Mkjj noma sana.
Hahahaha!!! Mimi sina vyombo vya kuosha
hebu msivikoshe vyombo, mlisikie shombo na uvundo wake.
Kutegeana nani akoshe pia ni kubaya,
...na nyie mnaojifanya hamuelewi, mwajifanya kujitoa fahamu si ndio?
kwakuwa mmeambiwa hapa mtumie 'lugha nyepesi na laini' ndio leo hamjui chombo?
Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.
hebu msivikoshe vyombo, mlisikie shombo na uvundo wake.
Kutegeana nani akoshe pia ni kubaya,
...na nyie mnaojifanya hamuelewi, mwajifanya kujitoa fahamu si ndio?
kwakuwa mmeambiwa hapa mtumie 'lugha nyepesi na laini' ndio leo hamjui chombo?
Vyombo siyo vya sirini
Vyombo vile vya mezani
Siyo vya kule chumbani
vyombo vile vya jikoni!
he he..majibu yameshapatikana..yuuu mzee umemix watu sana leo!!..
Aka babu, sie waume zetu ruksa kuoa mpaka wanne, sasa akiwa na hamu si anaongeza mwingine tu kihalali, na hao wanne wakimchosha anaacha na kuoa wengine kihalaaali, labda awe hafati maamrisho na anafanya dhulma. Maana hamna dhulma na ufisadi kama kutembea na mwanamke mwingine kiharaam wakati unae wa halali, kama Slaa PhD wa kanoni bila degree hata moja, hali kadhalika mwanamke kutembea nje ya ndoa, hususan ikifikia kuwa unautangazamia umma unaokutazama kama kioo cha maadili katika jamii kuwa unataka kuzaa nje ya ndoa kama alivyofanya Halima Mdee. Looooo!