Kuosha Vyombo

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.
 
Yawezekana kukawa na zamu ya kuosha vyombo!Mzee kumbe na huku upo!Nilidhani we ni politics tu!Big up mavitu yako ya kule nima nataraji na huku utatupatia ya kihukuhuku!
 
sioshi vyombo
wala kufua
na kamani mfumo dume na uwe tu........

kupika nikijisikia.......

as for her

i pay for a housegirl salary also....
thats fair enough
The Boss:
All I can say is.................................Mhmm"Inneresting"

Mzee Mwanakijiji:
The rule of thumb is, the cook is not the dishwasher and vice versa. Since mmepika wote, i think its only fair that msaidiane hata kuosha vyombo, unless ofcourse one of you doesnt mind to them, then he/she can wash 'em !!!? Mind you Im taking this to mean real dishes, as in cookware!
Otherwise
If this was meant to be connotative, i think its nice to do the washing together, especially if you want to score some brownie points with the missus, maana it does heighten and add to the "cooking/eating " intimacy just shared but again its not always must.
 
Najiuliza kama kuna fumbo hapo au la. Manake Mwanakijiji naye saa ingine bana.....unaweza ukadhani amemaanisha kama inavyosomeka kumbe mwenzio anaongelea jambo jingine kabisa.

Hili nalo neno!!!!
 
Haoshi mtu vyombo bana unless muwe ndani ya ndoa changa.Hivi Bishanga kweli na umri huu kukura kakara mara nidondoshe misahani,mara ukoko unimwagikie,lol kwa lipi hasa,najipendekeza kwa nani,ili iweje?
 
Mbona hata kupika huwa ni wachache tu? Sina hakika kama wote mnaweza kuingia jikoni kupika chakula kwenye kasufuria kamoja.
 
nyani ngabu shtuka hili ni fumbo bana...mwanakijiji anaona kuna umuhimu kushirikiana kuviosha vyombo baada ya kula, tunaokula kwenye vyombo disposable hakioshwi kitu,ukimaliza kula una discard tu
 
Haoshi mtu vyombo bana unless muwe ndani ya ndoa changa.Hivi Bishanga kweli na umri huu kukura kakara mara nidondoshe misahani,mara ukoko unimwagikie,lol kwa lipi hasa,najipendekeza kwa nani,ili iweje?

well said bishanga,na wala si kwa ndoa changa tu,
kumbuka mtoto umleavyo, ndivyo akuavyo,
hawa dada zetu wa kibongo si wa kuwafanyia hayo yote,
utajuta kuzaliwa!!!!!!!

kiukweli sioshi vyombo hata kwa dawa, vimba hata upasuke!!!!!
Kwani ndo kusema nini hiyo, kwamba ndo kuonyesha upendo uliotukuka!!!!!
Siendekezi western culture kwangu, hata kidogo!
Kupika utapika, na vyombo utaosha!kwisha!!!!
Huo uzungu, pelekeni huko huko!!!!!!!!!!!
 
nyani ngabu shtuka hili ni fumbo bana...mwanakijiji anaona kuna umuhimu kushirikiana kuviosha vyombo baada ya kula, tunaokula kwenye vyombo disposable hakioshwi kitu,ukimaliza kula una discard tu

Otherwise, kama mzee mwanakijiji,
anamaanisha ule uoshaji vyombo katika mtazamo mwingine basi
hapo sina la kuchangia!!!!!!
 
mnaelewa vyombo anavyozungumzia mwanakijiji hapa......ametumia tafsida kufikisha huu ujumbe
 
Ni vizuri wote kwenda kusaidiana kuosha hili vyombo vyote vilivyotumika viwe visafi kikamilifu na mkapumzika vizuri.

Sema mzee mwanakijiji kuna kundi lingine ambalo haliendi kusaidia kuosha viombo wao kazi yao kufuta vyombo tu wanaona poa imetoka hio.
 
Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.

1. Wote mlikuwa na njaa.
2. Mkashirikiana wote kupika.
3. Mkainjoi chakula wote.

Kwa sababu process zote muhimu za maandalizi milikuwa wote, so inabidi muhitimishe kwa kuosha wote hivyo vyombo.
 
Najiuliza kama kuna fumbo hapo au la. Manake Mwanakijiji naye saa ingine bana.....unaweza ukadhani amemaanisha kama inavyosomeka kumbe mwenzio anaongelea jambo jingine kabisa.

ni kweli hili ni fumbo ,
back to mwana kijiji:
unataka na sisi tuanze kubeba mimba?
 
well said bishanga,na wala si kwa ndoa changa tu,
kumbuka mtoto umleavyo, ndivyo akuavyo,
hawa dada zetu wa kibongo si wa kuwafanyia hayo yote,
utajuta kuzaliwa!!!!!!!

kiukweli sioshi vyombo hata kwa dawa, vimba hata upasuke!!!!!
Kwani ndo kusema nini hiyo, kwamba ndo kuonyesha upendo uliotukuka!!!!!
Siendekezi western culture kwangu, hata kidogo!
Kupika utapika, na vyombo utaosha!kwisha!!!!
Huo uzungu, pelekeni huko huko!!!!!!!!!!!

Na mavyombo ya ndugu zako pia nioshe...(joking Bacha). But you really don't need to paint it that way khaaa...'kupika utapika, na vyombo utaosha! kwisha!!!....hii ndio jinsi unavyomfikishia ujumbe? That's too harsh men....
 
Back
Top Bottom