Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
Kabisaa Mbu, hilo suala nipo makini na kweli vigezo huzingatiwa..tena napenda kuosha kwa mikono yangu siyo kutumia dishwasher, ha ha!
Asante kwa mibaraka mpendwa, ukae salama na wewe!!
...lahaula! ehh he he...swadakta wallah.
Nimepapenda zaidi hapo "kuosha kwa mikono yangu."
...(imagination) kama nakuona mwenyewe unakoshea vyombo kwenye beseni, taratiiiibu....
Tukirejea swali la huyu mzee wa Kijijini, unajiskiaje unapooshewa vyombo vyako?
mnh, sijui nimeeleweka hapa?...hapana. Ngoja nisepe kidogo.