Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,443
Inaleta raha zaidi kwa mwanamke, mnapomaliza kula mwanaume akoshe vyombo..
Hahahaha!!! Mwanakijiji hili swali limekaa kimitego kweli unaweza kufikiri labda Mwanakijiji anamaanisha hicho alichoandika kumbe hapa inazungumziwa ishu nyingne kabisa, Mwanakijiji imenibidi kusoma mara mbili ili nielewe ulikuwa unamaanisha nini.Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.
Najiuliza kama kuna fumbo hapo au la. Manake Mwanakijiji naye saa ingine bana.....unaweza ukadhani amemaanisha kama inavyosomeka kumbe mwenzio anaongelea jambo jingine kabisa.
Babu ulikuwa karibu na jibu ila hili bado sio jibu sahihiMi nilivyomwelewa:
Mnakiu ya kumegana.... mnafanya romansi pamoja..... mnafika mshindoni kwa raha zenu.... na kijasho kinawatoka...... Inakuwaje mwanamke ndo anakuwa mfutaji mkuu wa rojorojo za malavidavi?
Kama nimekosea, ni utoto unanisumbua.... nikikua ntaacha!
Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.
Dahhh
ni vema kama mkiosha wote
kuna kautamu hivi wa ku malizia malizia..
Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na mvinyo kidogo. Baadaye mmoja ndiye anatoka na kuanza kuosha vyombo. Hii kweli ni sahihi? Ni lazima wakati wote mshirikiane na kuosha vyombo kama mlivyoshirikiana kupika na kula? Ni swali tu.
Katika kiapo cha ndoa ulisema kuwa nitakuwa naye katika kila hali kwenye utajiri na kwenye umaskini na kila jambo.Imagine wote mnafanya kazi then mkatoka kazini wote mmechoka mkapika na kula wote je kuna shida gani hata kwenye kuosha msisaidiane mmoja anaosha mwingine anasuuza na kufuta au hata kama hufanyi hivyo mpe mwenzako companya kaa naye pale ajisikie vizuri:dance::A S 103:ound:
Huyu mzee zamani alituletea mambo ya kupika na kupakua, leo anatuletea mambo ya kula na kuosha vyombo.
Tena amekolezea na ka-mvinyo kidogo katika kuwekea msisitizo. Nahisi muda si mrefu atatujia na madhara ya kuvimbiwa!
Mzee Mwkjj, desturi za walaji zatofautiana. Achilia hao waliofundwa kuwakoshea wenzi wao,
Wengine wana desturi ya kupangusia kwa makaratasi kwanza.
Wengine hufutia chochote kilicho karibu yao. Sijui na hawa tutawahukumu ni uvivu wa kufuata kanuni za mtu ni afya, au ni matokeo ya 'shibe mwana malevya!'
Unanchekesha, na house girl afanye kazi gani?
na unaanzaje kumwambia dada akuoshee ivi vyombo kwanza? maana hata kabatini vinapokaa haruhusiwi kuvisogelea (hapo tu ni visafi)Kazi nyingine ukimwachia housegirl unakaribisha matatizo...hata ugonjwa wa moyo unaweza kukutembelea!!