King'amuzi cha continental ndo mpango mpango!!

star times tupa kule, zuku tupa kule,easy tv tupa kule, ting tupa kule, digitek tupa kule. mpango ni king'amuzi cha continental aina ya T2. Mimi nmekipenda sababu kinarecord vipindi. yaani kama upo busy na kipindi kinaendelea unauwezo wa kurecod na kuangalia baadae. unatumia flash na kila kitu. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia

hebu tudondoshee channel zake zote hapa jamvini tuzijue ili tufanye maamuzi ya kununua au la
 
walionunua ving'muzi vya star times wameliwa! Teknolojia yao inaisha dec. 2013. China waliikataa teknolojia hiyo. Uganda wakavipiga marufuku hata kugusa ardhi yao. Ila tz ndo tumeliwa, intelijensia ya tz iko senseless mia. But iko too sensetive zinapokuja ishu za vyama vya upinzani!
source mkubwa!!!!!!!!!
 
star times tupa kule, zuku tupa kule,easy tv tupa kule, ting tupa kule, digitek tupa kule. mpango ni king'amuzi cha continental aina ya T2. Mimi nmekipenda sababu kinarecord vipindi. yaani kama upo busy na kipindi kinaendelea unauwezo wa kurecod na kuangalia baadae. unatumia flash na kila kitu. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia

hahaha we jamaa eti

star times tupa kule,
zuku tupa kule, easy tv
tupa kule, ting tupa kule,
digitek tupa kule. ila DSTV cjaona ukitaja...
 
Hata mimi ni mwanafamilia wa continental picha makini bila kusahau kukatika kwa sauti kama star time
 
mbona hata digitek kinafanya mambo hayo yote uliyo yasema mku?

nini cha kukitofautisha na digitek ukiacha jina na bei?

hicho kina vizidi nini vingine?

mkuu bado umeshinda kukitetea hicho kisumbusi chako.
 
Nataka kuongeza kisimbusi je continental na digitek nitajien chnl zao!

=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
Katika mambo sielewi hawa jamaa wa Continental wanajipigia promo ya ubora wa Picha na Bei lkn hawasemi kuna Chanel ngapi na zipi! Nilienda 7 7 mwaka huu mambo nihayo hayo! Ukiwauliza kuna chanel hawasemi wanakwambia ziko nyingi nazingine zitaongezeka zipi kimya duh! Mfano halisi nihuyu ndg muanzisha mada anacfia ubora bt hasema kuna chanel zp mbona DIGTECK wanasema? duh! ngoja tumsubiri AZAM nae!
 
Hivi kwa nini watanzania wanauziwa channel ambazo ni free to air, bado wamekaa kujadili aina za ving'amizi, kuliko ninunue hayo madikoda yenu mnayoshindana kuyataja maana mimi yote yamenikera si bora nilipie kebo nikapata machaneli ya uhakika
 
vingamzi hivi vitanitoa roho yarabi mungu wangu.
ninacho cha startimes kiko uvunguni nilikinunua mwanzoni kabisa kabisa, sasa nimefunga Zuku , no ITV no STARTV nami napenda vituo hivi viwili, naambiwa kuna continental sijui digitek, ting sijui nani tena , je which is the right choice of vinga'mzi?
 
Azam tv
 
Back
Top Bottom