TCRA mpo likizo kwa Continental?

mkalimani4

Member
Nov 30, 2016
26
29
Ni takribani imepita miezi mitatu tangu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilipoagiza Wamiliki wa Ving'amuzi; Continental, Ting, Digitek na Star times waonyeshe Channel za nyumbani hata kama wateja wao hawajalipia malipo ya kila mwezi.
Agizo hilo lilifuatwa kwa muda mfupi tu na kwa sasa King'amuzi cha Continental wameachia bure Channel moja tu ambayo ni TBC.
Ninawakumbusha majukumu yenu nyie TCRA kuwa King'amuzi hicho kipigwe faini kubwa ili iwe fundisho kwa Makampuni mengine yaliochukua Leseni ya bei chee kwa masharti ya kuonyesha chaneli za nyumbani pasipo kulipisha wateja wao.
 
Attachments

  • TCRA.jpg
    230.3 KB · Views: 35

Mkuu natumia continental mbona naangalia channel za home bure kabisa
Itv
Eatv
Capital
TBC
Channel ten
Star tv
Proin tv
Emmanuel tv
Fire tv
N.k bureeeee
 
Hata Azamu anaonyesha TBC pekee yake tu,channel zingne kama ITV,Channel 10,Star TV unalipia
 
Back
Top Bottom