ITV vs StarTimes, Nini sababu ya kutoelewana?

mdhalendo

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
282
273
Wadau kwema? Nimekuwa nikifuatilia matangazo ya ITV na radio one na mara nyingi wanapiga tangazo kutaja ving'amuzi kadhaa vinavyopaswa kuonyesha ITV, EATV. Wanaonekana kuvitambua ving'amuzi vya TING, DSTV, EASY TV, DIGITEK, CONTINENTAL, ZUKU, AZAM TV lakini hawataji STAR TIMES hali hiyo ikiwa ni sambamba na kupungua ubora wa matangazo ya ITV/EATV kwenye kisumbuzi cha startimes.

Nini sababu ya mgingano huu kwa anayefahamu tafadhali tujulishane sababu za mgogoro huu.
 
Wadau kwema? nimekuwa nikifuatilia matangazo ya ITV na radio one na mara nyingi wanapiga tangazo kutaja ving'amuzi kadhaa vinavyopaswa kuonyesha itv,eatv. Wanaonekana kuvitambua ving'amuzi vya TING, DSTV, EASY TV, DIGITEK, CONTINENTAL, ZUKU, AZAM TV lakini hawataji STAR TIMES hali hiyo ikiwa ni sambamba na kupungua ubora wa matangazo ya itv/eatv kwenye kisumbuzi cha startimes.
Nini sababu ya mgingano huu kwa anayefahamu tafadhali tujulishane sababu za mgogoro huu


Mkuu ulipitwa na mgogoro wao? Chanzo ndio hiko ulichokieleza.
 
Hujuma ya kuscratches vipindi vya itv hasa wakati wa habari saa mbili usiku,, kwan hujui startimes ina ubia na Tbccm1???
 
Back
Top Bottom