King'amuzi cha continental ndo mpango mpango!!

star times tupa kule, zuku tupa kule,easy tv tupa kule, ting tupa kule, digitek tupa kule. mpango ni king'amuzi cha continental aina ya T2. Mimi nmekipenda sababu kinarecord vipindi. yaani kama upo busy na kipindi kinaendelea unauwezo wa kurecod na kuangalia baadae. unatumia flash na kila kitu. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia
Acha kupotosha, kinachagua Channel za kurekodi tena chache mno kama Drama, Morning Star na hakiwezi kurekodi ITV, EATV nk.
 
Bora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.
Hakirekodi ITV, EATV nk. inarekodi chache mno.
 
Back
Top Bottom