Star TV kwenye king'amuzi cha Startimes vipi?

ng'adi lawi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
2,956
1,114
Jamani sisi tulio na Startimes tumemiss Doto Bulendu wa Star TV na vipindi vyake vya Jicho letu ndani ya habari cha Jumamosi na Mijadala ya Jumapili asubuhi. Nini kinaendelea au wako kwenye king'amuzi chao cha Continental tu?
 
We acha tu...walianza kuzima channel zote tulizoahidiwa kuwa zitakuwa bure zikabaki TBC 1 na TV 1.

Saa hizi hata Bw Mungi utamtafuta usiku na mchana na hutojua alipo....amejibanza mahali kwenye kona anachekea tu tumboni....na glasi yake ya Whisky...akishacheka kwa sauti ya juu anamalizia na maneno 'kudadeki'

Kwa maneno mengine tukae mkao wa kula kuna mengi yapo njiani.
 
Back
Top Bottom