King'amuzi cha continental ndo mpango mpango!!

Bora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.

Mkuu umenichekesha sana!
 
Hivi unakuaje na ujasiri wa kusifia kitu ambacho hujawahi hata kukiona?

star times tupa kule, zuku tupa kule,easy tv tupa kule, ting tupa kule, digitek tupa kule. mpango ni king'amuzi cha continental aina ya T2. Mimi nmekipenda sababu kinarecord vipindi. yaani kama upo busy na kipindi kinaendelea unauwezo wa kurecod na kuangalia baadae. unatumia flash na kila kitu. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia
 
ngoja niende keko ninunue stand ya tv nyingine maana hii niliyo nayo imejaa hiv vitu.nivinunue vyote then nitengeneze ratiba kila ck na king'amuzi chake
 
Mkuu ongea sifia naomba unihabarishe kuna channel yoyote itakayoonyesha epl na uefa? kwa hichi king'amuzi
 
. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia

Ujanja kuwahi, startimes wamewahi.
Watanzania wachache wanaweza kumudu gharama ya king'amuzi cha pili
Labda hawa jamaa waviuze around elfu kumi apo au wagawe BURE ndio wapate idadi kubwa ya subscribers otherwise wamebugi meeeen
Vidubwasha vyenyewe unavisifia wakati zipo picha tu. Upatikanaji mpaka mwakani(2014) labda.
So untill then startimes is in da house

NB:Wa wahi kwenye mikoa ambayo startimes haijafika na BEI zao ziwe reasonable compared to washindani na hali halisi ya watanzania wengi.
 
Hivi unakuaje na ujasiri wa kusifia kitu ambacho hujawahi hata kukiona?
yeye ni sales afisa
ndo mkate unapatikana hapo,

ndo maana hata hasemi kuna chaneli ngapi,
utashangaa unakutana na star TV tu
 
yote tisa,sihitaji king'amuzi chochote!nani anataka hizo gharama,mara vi-stuck mambo gani hayo!mpango mzima dish la kawaida kila kitu fresh,except channel za mpira....na haulipii,ukishafunga umemaliza kazi
 
walionunua ving'muzi vya Star Times wameliwa! Teknolojia yao inaisha Dec. 2013. China waliikataa teknolojia hiyo. Uganda wakavipiga marufuku hata kugusa ardhi yao. ila TZ ndo tumeliwa, intelijensia ya TZ iko senseless mia. but iko too sensetive zinapokuja ishu za vyama vya upinzani!
 
:smile: hapa ni mwendo wa CD tu
 
Angekua afisa mauzo angekua hata na taarifa kiasi fulani....
Huyu amanakili tangazo lao na kubandika hapa....huku akitoa mapovu juu ya ubora wa asichokifahamu!

yeye ni sales afisa
ndo mkate unapatikana hapo,

ndo maana hata hasemi kuna chaneli ngapi,
utashangaa unakutana na star TV tu
 
lol umenichekesha mweee
Bora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.
 
hivi ving`amuzi vimezidi sasa, vingine vitaanza kutulipulkia ndani kama mabomu ya mbagala.
 
star times tupa kule, zuku tupa kule,easy tv tupa kule, ting tupa kule, digitek tupa kule. mpango ni king'amuzi cha continental aina ya T2. Mimi nmekipenda sababu kinarecord vipindi. yaani kama upo busy na kipindi kinaendelea unauwezo wa kurecod na kuangalia baadae. unatumia flash na kila kitu. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia
vipi naweza kuwa wakala wa hivyo ving'amuzi vya kurekodi?mia
vinauzwa sh ngapi?vina channel ngapi?Mia mia
 
Back
Top Bottom