King'amuzi cha continental ndo mpango mpango!!

Mbona huwa mnapenda kutoa taarifa za uwongo hivyo? Au hiyo Uganda unayoizungumzia ni ipi?
sio taarifa za uongo wewe. kuna ving'amuzi vya Star times vimepigwa marufuku Uganda kwa sababu teknolojia yake haiko katika viwango! fuatilia...
 
sio taarifa za uongo wewe. kuna ving'amuzi vya Star times vimepigwa marufuku Uganda kwa sababu teknolojia yake haiko katika viwango! fuatilia...

Dont believe everything you read on newspapers, Kampala sehemu kubwa wanatumia visambuzi vya startimes hii ni taarifa ya sasa hivi ninavyoongea.
 
Bado unauliza swali kama hili?kweli watu wagumu wa kuelewa MAMLAKA YA MAWASILIANO INA KAMPUNI TANO ZINAZORUSHA MATANGAZO YAO BURE
1.CH TEN
2.TBC1
3.ITV
4.EATV
5.STAR TV.
HIZI HATA UKILETA KINGMUZI CHA WAPI SHARTI UZIRUSHE BURE.
 
As long as hakijaanza kufanya kazi...maneno yote uliyoandika naona ni Marketing Strategies tu mkuu....
 
Dstv hizo ni level nyinge. Hyo quality ya dst ni another level.yani watasubiri sana.tatizo ni malipo yake kuwa juu.
 
Dont believe everything you read on newspapers, Kampala sehemu kubwa wanatumia visambuzi vya startimes hii ni taarifa ya sasa hivi ninavyoongea.

soma basi hii kitu! then fanya utafiti TZ hao jamaa wanauza ving'amuzi aina gani DVB-T2 au DVB-T1 maana DVB-1 imapigwa marufuku huko UG! tusivute mjadala bure!

Ugandans allege Star Times selling fake decoders
Send to a friend
Thursday, 27 September 2012 09:37

By Nicholas Kalungi,BusinessWeek Correspondent
Kampala. The Uganda Communications Commission has directed Star Times - a pay TV service provider - to immediately withdrawal DVB-T1 set top boxes from the market.

UCC issued the order after consumers petitioned the industry regulator to clarify on a recent announcement that approved DVB-T2 set top boxes as the standard technology for the switch from analogue to digital broadcasting.
In a petition, the Uganda Consumers' Protection Awareness Association, asked UCC to act on Star Times which they accused of advertising and selling DVB-T1 set top boxes yet they had been suspended.
"Suspend Star Times from operating digital television broadcasting services till such a time when it has upgraded its technology to DVB-T2 in compliance with UCC standards," Mr Mulwani Taminwa the association's chairman said in a statement.
Eng Godfrey Mutabazi, the UCC executive director told Daily Monitor on phone that the commission had written to Star Times (September 20) instructing the company to stop the sale of DVB-T1 set top boxes.
"We sent a letter to Star Times instructing them to stop selling DVB-T1 set top boxes. They must comply and immediately withdraw these set top boxes," Eng Mutabazi said.
He added: "The standard for digital migration is DVB-T2 and nothing less. We agreed this is the best technology for the market and all service providers must comply."
However, Mr Kevin Cehen, the Star Times chief executive officer told The Daily Monitor on Saturday that he had not received any such letter and was just hearing about the order from the media.
"We have not received any letter from UCC about the matter," Mr Cehen said, adding: "The good news though is our DVB-T2 stock will be arriving before the end of this week and we shall replace all customers' (Star Times) decoders with DVB-T2 set top boxes at no additional cost."
The Daily Monitor could not independently verify whether the letter had been received although Eng Mutabazi insisted UCC had sent the letter, promising to furnish this newspaper with a copy tomorrow (Tuesday).
UCC's directive comes exactly four months after it (UCC) announced that Uganda just like other East African member states had adopted DVB-T2 as a standard for the switch from analogue to digital.
This means only DVB-T2 set top boxes will operate after the digital switch is implemented. East Africa set December 31, 2012 as the deadline for the digital switch, however, it is highly doubted whether Uganda will hit the deadline.
Recently Mr Nyombi Thembo was quoted in this newspaper as saying that if Uganda fails to hit the East African deadline, it would shift its focus to December 2015, the internationally set deadline for the switch.

From the sale of 130,000 disputed decoders, Star Times has raised UShs7.8bn (about TSh4.836 billion).

soma basi hii kitu! then fanya utafiti TZ hao jamaa wanauza ving'amuzi aina gani DVB-T2 au DVB-T1 maana DVB-1 imapigwa marufuku huko UG! tusivute mjadala bure!

Hakuna sehemu hiyo habari inasema visambuzi vya startimes vimepigwa narufuku kugusa ardhi ya Uganda. Hapo ndipo uwongo ulipo. Startimes wanauza sana tu Uganda.
 
Hakuna sehemu hiyo habari inasema visambuzi vya startimes vimepigwa narufuku kugusa ardhi ya Uganda. Hapo ndipo uwongo ulipo. Startimes wanauza sana tu Uganda.

okey nimekubaliana na wewe ktk argument yako. kwa vile gazeti ndo limetoka leo basi nadhani jamaa wa startimes watatoa ufafanuzi. meanwhile wana-JF tufuatilie ving'amuzi vyetu kujua ni vya teknolojia gani kati ya DVB-T2 na DVB-T1 maana DVB-T1 ndo inadaiwa kupitwa na wakati. meanwhile tunweza ku-google tujue status yake kwa sasa! tchao...:eek:hwell:
 
Kamanda nakukubali sana, tupo pamoja sana.
 
Da hii dijitali imenikumbusha miaka ya 47 ambapo tulikuwa tunaenda kusikiliza taarifa ya habari kwa balozi wa nyumba kumi au kwa mwalimu mkuu ,watu walishindwa kuwa na radio kwa kuwa na bei pia kulikuwa na kodi ya radio, kodi ya baiskeli hata hizi TV zilipoanza zilikuwa zinalipiwa kodi.
mfianchi tuliokuwa karibu na maeneo ya magereza au majeshi kuna ukumbi unaoitwa "Welfare" ndipo tulipojulia TV inafananaaje....wakati huo ni black & white halafu chenga kibao
 
Last edited by a moderator:
leo ndio nimejua kuna watu hawana ving'amuzi na toka analog imezimwa wamekosa kuona channel
 
Dont believe everything you read on newspapers, Kampala sehemu kubwa wanatumia visambuzi vya startimes hii ni taarifa ya sasa hivi ninavyoongea.

Mkuu Mjepu nadhani nia yako ni kusema "visimbuzi" na sio "visambuzi". Kisimbuzi kinafanya kazi ya kusimbua. Hicho unachokitaja "kisambuzi" kitakuwa kinafanya kazi ya kusambua, sidhani kama ndio kusudio lako.
Asante kwa kuthamini kiswahili.
 
Last edited by a moderator:
Bado unauliza swali kama hili?kweli watu wagumu wa kuelewa MAMLAKA YA MAWASILIANO INA KAMPUNI TANO ZINAZORUSHA MATANGAZO YAO BURE
1.CH TEN
2.TBC1
3.ITV
4.EATV
5.STAR TV.
HIZI HATA UKILETA KINGMUZI CHA WAPI SHARTI UZIRUSHE BURE.
DSTV wataanza kuonesha lini local channels hizo maana wako na TBC only.
Tunaomba serikali iingilie kati.
Queen Esther
 
uzi wako utadhani umekitumia hicho kinga"amuzi,kumbe ndo bado unakisubiri
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom