Mwaka 2015-2016 king'amuzi kipi ni bora kwa muonekano na bei nafuu?

chibuga mugeta

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
1,176
1,055
DSTV, AZAM TV, EASY TV, CONTINENTAL DECODER, DIGITEK, TING, ZUKU, STAR TIMES kipi ni bora ambacho picha zake ni na vipindi ni vya ukweli na vinavutia, malipo yake hayana usumbufu, hii ni kwa wale ambao wameshatumia zaidi ya vinne au vitatu ndo wanaruhusiwa kuchangia bila kuwa bias.

Karibuni.
 
DSTV,AZAM TV,EASY TV,CONTINENTAL DECODER,DIGITEK,TING,ZUKU,STAR TIMES kipi ni bora ambacho picha zake ni na vipindi ni vya ukweli na vinavutia,malipo yake hayana usumbufu,hii ni kwa wale ambao wameshatumia zaidi ya vinne au vitatu ndo wanaruhusiwa kuchangia bila kuwa bias,karibuni
vyote hapo hamna hata kimoja cha bei nafuu na channel kibao ni FTA TU
 
Hmna kitu hapo.miaka ya sasa ni kutafuta iptv tu na kustream online ukipata vifaa vyake basi huna haja ni visambuzi uchwara ni wewe na net yako tu
 
kama unataka kuwaungisha hao wenye ving'amuzi sawa. ila kama unataka uinjoy channels unazotaka bure bila kulipishwa basi nunua dish lako
 
Back
Top Bottom