Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Uongozi ni uwezo wa kufanya bora zaidi kuliko waliokutangulia. Haya ya kusema tu kuwa amerithi matatizo ni bail out. Obama amerithi matatizo chungu mzima lakini humsikii akilalamika. He is dealing with them. Day and night. That is leadership!
Jasusi:
Heshima mkuu. Sisi mafundi tuna kitu tunaita toolbox. Na mafanikio yoyote ya fundi mzuri yanategemea ni vifaa gani vya ufundi vilivyopo katika toolbox. Bila kuwa na zana fundi yoyote is good as any prehistoric human being.
Obama ana matatizo mengi sana lakini ana toolboxes za kutatua mafanikio yanayomkabili. Kwa upande wetu hakuna.
Hivyo, matatizo yalioachwa na marais waliomtangulia JK, hayakutokana na lack of efforts. Yanatokana na ukosefu wa tools za kutatua matatizo. Na sehemu kubwa ni tools hizo ni wananchi wenyewe.