Kikwete: Lowassa ndiye alienishawishi kugombea Urais

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amefichua siri kuwa ni Lowassa ndiye alimshawishi kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 1995.

Rais Mstaafu Kikwete anasema hakuwa na wazo la kutaka kujitosa kwenye kinyang'anyiro hicho lakini aliamua kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho licha ya kwamba hakushinda.

Credit - AzamTv
 
viva JK viva...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Tutasikiaa mengii na mengineyoo Badoo hamjasemaaa na hataa mkisemaa lowassa ndio bac tenaa,,

Rip lowasaa
 
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amefichua siri kuwa ni Lowassa ndiye alimshawishi kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 1995.

Rais Mstaafu Kikwete anasema hakuwa na wazo la kutaka kujitosa kwenye kinyang'anyiro hicho lakini aliamua kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho licha ya kwamba hakushinda.

Credit - AzamTv
Mnafiq mwandamizi huyu chalii
 
Au basi
Ila marafiki asilimia kubwa ni
 
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amefichua siri kuwa ni Lowassa ndiye alimshawishi kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 1995.

Rais Mstaafu Kikwete anasema hakuwa na wazo la kutaka kujitosa kwenye kinyang'anyiro hicho lakini aliamua kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho licha ya kwamba hakushinda.

Credit - AzamTv
Mnafiq
20240213_044014.jpg
 
Hakuyasema haya Lowasa akiwepo
 
Kumbe mitandao ya Kisiasa inaakisi mambo mengi sana

Yawezekana kabisa Mzee Sitta alimuandaa Makonda kuja kugombea uRais 2030

Yawezekana kabisa safari ya Makonda kuelekea Ikulu ilianzia Kwenye Bunge la Katiba

Rip Edward Lowassa
 
aka Six, ametuachia vijana wake machachari Bwana mwepesi na mpiga Debe.

Ukishakuwa kijana wa Six basi utumishi wa lile geti unakuhusu, kwakweli ametuachia vijana wasumbufu na hatari sana wakiifanya kazi moja kwenye angle tofauti na bosi wao mmoja kwenye political wing.
 
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amefichua siri kuwa ni Lowassa ndiye alimshawishi kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 1995.

Rais Mstaafu Kikwete anasema hakuwa na wazo la kutaka kujitosa kwenye kinyang'anyiro hicho lakini aliamua kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho licha ya kwamba hakushinda.

Credit - AzamTv
Na Mwenyekiti wenu alitegemea uwaziri mkuu, mkampiga chini akawa supika, baadae mkamtaka abadili jinsia iliaendele kuwa supika akashindwa
 
Kumbe mitandao ya Kisiasa inaakisi mambo mengi sana

Yawezekana kabisa Mzee Sitta alimuandaa Makonda kuja kugombea uRais 2030

Yawezekana kabisa safari ya Makonda kuelekea Ikulu ilianzia Kwenye Bunge la Katiba

Rip Edward Lowassa
Makonda alikuwa hawara ya Sitta tu, hakuna zaidi ya hilo. Yaani mwaka 2030 Tanzania itawaliwe na shoga??
 
Back
Top Bottom