Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,661
Kumbe UE imeanza? Wala msikubali kupanda mafuso Kama mizigo waambieni mnataka V8 ili msome madesa yenu comfortablehaya hapa
View attachment 55779
wakiwalizimisha watu hapa ila wanabahati mbaya sana kwani j3 tunaanza ue so ili kumshawishi mtu aende inabidi watoe fungu la uhakika sana, Me nilipanga kutokosa kutumia ela ya bure nngefika jangwani tu nngechukua fungu langu then nngerudi udsm kwa ghafla sana ila ue inathamani kuliko elfu tano ya ccm, watajibeba safari hii pale magamba yakianza kuwawasha, na huku hamna hamasa kabisa naona hata mbandika tangazo alilibandika usiku na sidhanikama linaweza fika mpaka asubuhi likiwa bado salama