CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012.....

Hata mimi nimesikia kitu hicho kutoka kwa mzee mmoja huwa wanakodi maroli yake kubeba wananchi kwenda kwenye mikutano yao, ila wanadai mpaka jana JK alikuwa haja confirm kuwepo.

ngoja na mimi nihamishie fuso langu huko dar naweza kuambulia angalao trip tano,si haba inalipa!
 
Utahudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na watazungumzia mustakabali wa taifa.
Source: tbc1
safari hii watagawa wali na maharage tena??
ila najua wakiweka ngoma za mchiriku watapata watu nyomi tu si unajua tena watu wa pwani kwa kuzungusha nyonga..

hawana jipya wakafie hukoo
 
nina store ua mchele wa shinynga unaoweza kulisha watu 20000 niwasiliane na nani niage umasikini?
maana pale hata kwa buku 3 kwa kilo nitauza rejao,ritz tuambiane wakuu.
 
yaani wanaweweseka vibaya sana..khaahaaaaa CCM bana poleni bana mtaoea tu
 
Huku mitaani naona chachandu zinatengenezwa Kumbe ni kwaajili ya pilau la jmosi !! Ngoja nikanunue ndizi mbivu za kutafunia pilau
 
Tofauti ya watanzania wa mwaka 1961 na wa sasa ndoi tofauti inatakiwa nyinyiem wajifunze!
 
safi sana chama chetu cha mapinduzi,.... operation chana gwanda vaa uzalendo inaleta matunda
 
jamaa wa magama hawana new idea kazi yao kucopy tu,katiba mpya wamekocopy,sera ya ufisadi wamecopy duu
 
Nakaribisha sara ya kulaani magamba yote wataohudhulia mkutano huo!!!!! Huku wakijua fika kuwa wanaenda kuwasikiliza mafisadi wa kodi zetu, wala rushwa (eg mbunge wa nyinyiemu aliyekamatwa na pcb kwa rushwa juzi + others)
 
CCM na viongozi wake ni sawa na huyu YANKI......


Yanki alikuwa na mpenzi, siku moja mpenzi aliugua sana ikalazimika awekewe damu, yanki akajitolea damu hatimae mpenzi akapona. Haukupita muda wakaingia katika ugomvi mkubwa na kuamua kuachana. Yanki akaleta ushamba wa kuanza kunyang'anya kila kitu alichompa mpenzi wake. Haikutosha akakumbusha kuwa aliwahi kutoa damu akaanza kudai damu yake. Mpenzi akakubali kumlipa jamaa kwa installement, akamwambia awe anakuja kila mwezi kuchukua mali zake.
Utahudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na watazungumzia mustakabali wa taifa.
Source: tbc1
 
Hiki CCM kila wanalolifanya CHADEMA ni lazima waige,hivi wana kitu gani cha kuwaambia watanzania zaidi ya kuwadanganya kwa ahadi zisozotekelezeka.Nikiwa home Temeke mida ya jioni nilisikia gari la matangazo la CCM likipita kuwatangazia wale wana magamba ambao bado wana roho ngumu ya kukipenda chama cha mafisadi kuhudhuria mkutano wao.
 
Wamesha andaa mafuso ya kubebea watu pamoja na 5000 za kugawa?

haya hapa
Photo0327.jpg
wakiwalizimisha watu hapa ila wanabahati mbaya sana kwani j3 tunaanza ue so ili kumshawishi mtu aende inabidi watoe fungu la uhakika sana, Me nilipanga kutokosa kutumia ela ya bure nngefika jangwani tu nngechukua fungu langu then nngerudi udsm kwa ghafla sana ila ue inathamani kuliko elfu tano ya ccm, watajibeba safari hii pale magamba yakianza kuwawasha, na huku hamna hamasa kabisa naona hata mbandika tangazo alilibandika usiku na sidhanikama linaweza fika mpaka asubuhi likiwa bado salama
 
Back
Top Bottom