Paul Makonda Mmoja alifanya mkutano mkubwa na mzito mkoani Mbeya kuliko CHADEMA waliosombelea watu mikoa yote ya nyanda za juu kusini

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika hakuna chama cha upinzani kwa sasa wala kiongozi wala mtu yeyote yule kutoka upinzani ,anayeweza kufanya mkutano mkubwa ambao ukahudhuriwa na maelfu ya wananchi kama Mheshimiwa Paul Makonda Jabali na Nguli siasa na kijana jasiri kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la sahara.

Mheshimiwa Paul Makonda alipotua na kukanyaga mkoa wa Mbeya na kufanya mkutanoni wa hadhara ndani ya ardhi ya mkoa wa Mbeya alipokelewa na umati wa maelfu ya watu waliofurika na kumiminika kama mchanga wa baharini. ilikuwa hakuna pa kukanyaga wala kusogeza mguu.ilikuwa ukitoa mguu wako basi utaishia kukanyaga juu ya mguu mwingine wa mtu ,maana hata sisiminzi asingeweza kupata nafasi ya kupenya kwa namna watu walivyokuwa wamefurika na kujaa utafikiri enzi zile za marehemu askofu dkt Moses kulola alivyokuwa anapokelewa huku kwetu.

Mikutano yote ya Mheshimiwa Makonda imekuwa hivyo hivyo ikipata mapokezi makubwa kwote anakopita na kufanya mikutano.watu wamekuwa wakijitokeza kwa wingi sana,.jambo ambalo limemtisha na kumtetemesha sana Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ambaye akiwa mkoani Mwanza alianza kulia lia kuwa mafuriko ya Mheshimiwa Makonda ni ya kutengenezwa kwa kuwalazimsha watu kuhudhuria, lakini cha ajabu ni kuwa yeye mbowe ameshindwa kuyatengeneza na kuwalazimsha watu..

Sasa jana ndipo ikaonyesha ukubwa,uzito na thamani ya Mheshimiwa Makonda katika mioyo ya watanzania hasa wanambeya ambako mkutano wa hadhara ulifanywa na CHADEMA.kwani licha ya CHADEMA kusombelea watu kutoka mikoa yote ya nyanda za juu kusini lakini bado hali ya mahudhurio yawatu haikufikia hata robo ya mafuriko ya watu waliompokea Mheshimiwa makonda.hii ndio sababu jina la Mheshimiwa Makonda lilitawala katika matembezi yao ya kupoteza muda waliyokuwa wanayafanya CHADEMA.

Nilishuhudia magari hasa macosta yakisombelea watu kutoka mikoa yote ya jirani na wilaya zake yakiwaleta watu Mbeya ili wafanye maandamano jana.lakini hawakuweza kujaa hata kwenye kiganja.ndio maana picha za mitandaoni waliziweka kijanja janja ili kuficha aibu.lakini kwa tulioshuhudia na kuona tulibaki tunawasikitikia tu CHADEMA kwa namna kilivyopoteza ushawishi na nguvu kwa watanzania.kwa sasa watu hawana habari na habari za CHADEMA.ndio maana watu walikuwa wapo Bize tu kuendelea na kazi na shughuli zao.

CHADEMA wakubali tu kuwa hawawezi kushindana na Mheshimiwa Makonda wala CCM, Maana Mheshimiwa Makonda mmoja tu anawatoa jasho na kuwashinda.vipi kikiingia chama kizima na idara zake zote? Mheshimiwa Makonda pekee yake akitia mguu mahali fulani anateka mkoa mzima na kuwa gumzo mitaa yote ,ambapo shuguli zote husimama ili kwenda kumsikiliza. lakini CHADEMA pamoja na makelele yao ya magari kutangaza kila siku lakini watu hawakuwa na habari nao na badala yake waliamua kuendelea na shughuli zao.

Hii ni kwa kuwa wananchi wanatambua kuwa palipo na Mheshimiwa Makonda na CCM yake ndipo mahali unapoweza kupata majibu ya kero yako, ndipo unapoweza kupata suluhu ya shida yako ,ndipo unapoweza kufutwa machozi yako,ndipo unapoweza kusaidiwa na kupewa msaaada wa hali na mali,ndipo unapoweza kusikilizwa bila kujali hali yako na kupewa majibu stahiki.

Sasa ukienda kwenye mkutano wa CHADEMA utaishia kusikia matusi na makelele yasiyo na tija wala majibu ya kero za watu wala msaada kwa mwenye shida. Watu kwa sasa wana imani kubwa na Mh Makonda na CCM yake kwa ujumla na ndio maana kwa sasa wana kiu kubwa sana ya kuona Mh Makonda anarejea jukwaani na kuendelea na ziara zake baada ya kuwa amesitisha kwa muda kwa ajili ya kushiriki mazishi ya hayati Edward lowassa.

Nawaonya CHADEMA kuwa acheni kushindana na Mh Makonda. kumshambulia ni sawa na shambulizi kwa watanzania wanyonge ambao wanamtizama Mh Makonda kama mtetezi wao ,sauti yao na kimbilio lao la Haraka juu ya kero na shida zao katika kupata msaada.kwa hiyo mkijaribu kutaka kushindana naye basi mjue kuwa mnashindana na kupambana na mamilioni ya watanzania wanyonge ambao wapo nyuma ya Mheshimiwa Makonda ,kumuombea dua njema na kumshukuru Mungu kwa kumpa maono Rais wetu kipenzi Rais Samia ili kuwaletea Mheshimiwa Makonda atakaye tembea nchi nzima kuwasikiliza kero zao na kuzifikisha kwake na serikali yake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
IMG-20240202-WA0004.jpg
IMG-20240114-WA0016.jpg
IMG-20240206-WA0027.jpg
IMG-20240206-WA0025.jpg
img_tmp_tag1705908502140.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika hakuna chama cha upinzani kwa sasa wala kiongozi wala mtu yeyote yule kutoka upinzani ,anayeweza kufanya mkutano mkubwa ambao ukahudhuriwa na maelfu ya wananchi kama Mheshimiwa Paul Makonda Jabali na Nguli siasa na kijana jasiri kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la sahara.

Mheshimiwa Paul Makonda alipotua na kukanyaga mkoa wa Mbeya na kufanya mkutanoni wa hadhara ndani ya ardhi ya mkoa wa Mbeya alipokelewa kwa na umati wa maelfu ya watu waliofurika na kumiminika kama mchanga wa baharini. ilikuwa hakuna pa kukanyaga wala kusogeza mguu.ilikuwa ukitoa mguu wako basi utaishia kukanyaga juu ya mguu mwingine wa mtu ,maana hata sisiminzi asingeweza kupata nafasi ya kupenya kwa namna watu walivyokuwa wamefurika na kujaa utafikiri enzi zile za marehemu askofu Moses kulola alivyokuwa anapokelewa huku kwetu.

Mikutano yote ya Mheshimiwa Makonda imekuwa hivyo hivyo ikipata mapokezi makubwa kwote anakopita na kufanya mikutano.watu wamekuwa wakijitokeza kwa wingi sana,.jambo ambalo limemtisha na kumteyemesha sana Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ambaye akiwa mkoani Mwanza alianza kulia lia kuwa mafuriko ya Mheshimiwa Makonda ni ya kutengenezwa kwa kuwabeba watu.lakini cha ajabu ni kuwa yeye mbowe ameshindwa kuyatengeneza ..

Sasa jana ndipo ikaonyesha ukubwa,uzito na thamani ya Mheshimiwa Makonda katika mioyo ya watanzania hasa wanambeya ambako mkutano wa hadhara ulifanywa na CHADEMA.kwani licha ya CHADEMA kusombelea watu kutoka mikoa yote ya nyanda za juu kusini lakini bado hali ilikuwa ya mahudhurio yawatu haikufikia hata robo ya mafuriko ya watu waliompokea Mheshimiwa makonda.hii ndio sababu jina la Mheshimiwa Makonda lilitawala katika matembezi yao ya kupoteza muda waliyokuwa wanayafanya.

Nilishuhudia magari hasa macosta yakisombelea watu kutoka mikoa yote ya jirani na wilaya zake yakiwaleta watu Mbeya ili wafanye maandamano jana.lakini hawakuweza kujaa hata kwenye kiganja.ndio maana picha za mitandaoni waliziweka kijanja janja ili kuficha aibu.lakini kwa tulishuhudia na kuona tukibaki tunakisikitikia CHADEMA kwa namna kilivyopoteza ushawishi na nguvu kwa watanzania.kwa sasa watu hawana habari na habari za CHADEMA.ndio maana watu walikuwa wapo Bize tu kuendelea na kazi na shughuli zao.

CHADEMA wakubali tu kuwa hawawezi kushindana na Mheshimiwa Makonda wala CCM Maana Mheshimiwa Makonda mmoja tu anawatoa jasho na kuwashinda.vipi kiliingia chama kizima na idara zake zote? Mheshimiwa Makonda pekee yake akitia mahali fulani anateka mkoa mzima na kuwa gumzo mitaa yote ,ambapo shuguli zote husimama ili kwenda kumsikiliza lakini CHADEMA pamoja na makelele yao ya magari kutangaza kila siku lakini watu hawakuwa na habari nao na badala yake waliamua kuendelea na shughuli zao.

Hii ni kwa kuwa wananchi wanatambua kuwa palipo na Mheshimiwa Makonda na CCM yake ndipo mahali unapoweza kupata majibu ya kero yako, ndio unapoweza kupata suluhu ya shida yako ,ndipo unapoweza kufutwa machozi yako,ndipo unapoweza kusaidiwa na kupewa msaaada wa hali na mali,ndipo unapoweza kusikilizwa na kupewa majibu stahiki.

Sasa ukienda kwenye mkutano wa CHADEMA utaishia kusikia matusi na makelele yasiyo na tija wala majibu yakeri za watu wala msaada kwa mwenye shida. Watu kwa sasa wana imani kubwa na Mheshimiwa Makonda na CCM kea ujumla na ndio maana kwa sasa wana kiu kubwa sana ya kuona Mheshimiwa Makonda anarejea jukwaani na kuendelea na ziara zake baada ya kuwa amesitisha kwa muda kwa ajili ya kushiriki mazishi ya hayati Edward lowassa.

Nawaonya CHADEMA kuwa acheni kushindana na Mheshimiwa Makonda. kumshambulia ni sawa na shambulizi kwa watanzania wanyonge ambao wanamtizama Mheshimiwa Makonda kama mtetezi wao ,sauti yao na kimbilio lao la Haraka juu ya kero na shida zao katika kupata msaada.kwa hiyo mkijaribu kutaka kushindana naye basi mjue kuwa mnashindaa na kupambana na mamilioni ya watanzania wanyonge ambao wapo nyuma ya Mheshimiwa Makonda ,kumuombea dua njema na kumshukuru Mungu kwa kumpa maono Rais wetu kipenzi Rais Samia ili kuwaletea Mheshimiwa Makonda atakaye tembea nchi nzima kuwasikiliza kero zao na kuzifikisha kwake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.View attachment 2910998View attachment 2911001View attachment 2911002View attachment 2911003View attachment 2911004
Siku mbili tatu hizi umemsahau Makonda, umekuja na hoja yako mfu ya umeme watu wameku crush umemkubuka tena.
 
Pau Makonda amefurahi sana. Ametoka kunipigia simu anasema kweli wewe unampenda sana. Akaniuliza na ninyi wanaume wengine mnapendwa kama mimi? Hapo nikaguna tu. Mi ngepata mwanamke hata mwenye nusu ya upendo wako nikiwa hivi hivi CCM ngempatia cheo kwa kweli.
 
Wewe akili yako ni ndogo sana .nakusamehe bure tu.
 
Namba ya simu tukutumie vocha
 
Mwendawazimu mkubwa wewe, kila Mkoa anakopita lazima DCs, DASs, DEDs,DSOs, Wabunge, wakuu wa Idara wa halmashauri zote pamoja na taasisi zote za umma na watumishi wengine wanalazimishwa kuhudhuria ndiyo nyomi ya Makonda? mjinga sn wewe
CCM Ndio yenye serikali.kwa hiyo unafirikiri kama siyo CCM kuwepo madarakani hao wakuu wa wilaya watapatia wapi huo ukuu wa wilaya na mkoa? Sasa kwanini wasikiheshimu chama kilichoiweka serikali madarakani kupitia kura za mamilioni ya watanzania?

Pia hao viongozi ni lazima waje kwenye mikutano ili kusikiliza kero za wananchi na kutoa majibu kupitia Mheshimiwa makonda.maana chama ndio sikio la wananchi na ndio maana chama hakiwezi kukaa kimya kinapoona wananchi wanateseka na kunyanyaswa na mtu yeyote yule.
 
Back
Top Bottom