CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012.....

mie nitaenda kwenye mkutano kama tu haya yatafanyika
1.jk kujiuzulu urais
2.mkapa na watu wake wakamatwe wawe gerezani kabla ya kesho
3.mawaziri wote walio ondolewa kazini wafunguliwe mashitaka
4.washushe bei ya vitu mara moja kama umeme sukari ada za shule
5.wafute ukuu wa mkoa na wilaya
6.wauze shangingi zote
.
.
.
.
.
.
.

That's new way to say I WON'T GO coz what you said is more than impossible to happen.
 
Jamani kuna malori mangapi kwenda Jangwani? Na huku kwetu je tumepangiwa lipi na POSHO kiasi gani baada ya hapo?
 
Back
Top Bottom