CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012.....

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
CCM nao wameamua kufanya mkutano Viwanja vya Jangwani jijini Dar jumapili hii ili kushindana na Chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona Chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa M4C wiki iliyopita.

Je, wana JF hili limekaaje la Chama cha Mapinduzi kutaka kushindana na CDM?

Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na Mwenyekiti wa Chama chao yaani J.K mkuu wa nchi.

Tunaelekea wapi?

Nawasilisha.
 
Nimesikia wale wazee wa DSM (isipokuwa IDD SIMBA WA UDA) watakuwepo kwenye huo mkutano kuanzia saa moja asubuhi wakipiga makofi na kucheka kwa sauti kubwa kama sehemu ya mazoezi.
 
Kuna MALORI mangapi kwenda kusomba watu mikoani kwa ajili ya huo mkutano?? M-agesti hausi yatakavyojaa jijini kati ya tarehe 7 na 14 kwa ajili ya mkutano wa CCM hiyo mwenzenu sipati picha.
 
CCM nao wameamua kufanya mkutano Viwanja vya Jangwani jijini Dar jumapili hii ili kushindana na Chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona Chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa M4C wiki iliyopita. Je, wana JF hili limekaaje la Chama cha Mapinduzi kutaka kushindana na CDM? Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na Mwenyekiti wa Chama chao yaani J.K mkuu wa nchi. Tunaelekea wapi? Nawasilisha.
habari hii nimeiona kwa 5 channel, waliitoa akina bambo kwenye ze commedy. cc oyee!!!!
 
Kuna MALORI mangapi kwenda kusomba watu mikoani kwa ajili ya huo mkutano?? M-agesti hausi yatakavyojaa jijini kati ya tarehe 7 na 14 kwa ajili ya mkutano wa CCM hiyo mwenzenu sipati picha.

sijui maroli watatoa wapi. yale maroli yalikuwa yanapaki pale jangwani yalishaondolewa. sijui itakuwaje.
walikuwa wakiwatishia, msipo tubeba mtakuwa hampark hapa.
 
CCM nao wameamua kufanya mkutano Viwanja vya Jangwani jijini Dar jumapili hii ili kushindana na Chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona Chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa M4C wiki iliyopita.

Je, wana JF hili limekaaje la Chama cha Mapinduzi kutaka kushindana na CDM?

Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na Mwenyekiti wa Chama chao yaani J.K mkuu wa nchi.

Tunaelekea wapi?

Nawasilisha.

nchi inaongozwa na mswahili hii. mtakoma, bado miaka mi3 mbele.
 
sijui maroli watatoa wapi. yale maroli yalikuwa yanapaki pale jangwani yalishaondolewa. sijui itakuwaje.
walikuwa wakiwatishia, msipo tubeba mtakuwa hampark hapa.

2.JPG
 
tulianzisha vua gamba vaa gwanda wameiga kwa vua gamba na gwanda vaa uzalendo
tumefanya mkutano cdm squire nao watafanya hapo hapo na wao wataita waoem squired
endeleza mambo wanayoiga
 
...sahali kuubwa ya ubwabwa kama ule wa Mwigulu Nchemba kule Igunga kwenye jukwaa kuu.

Yeyote mwenye picha ya ile rushwa ya ubwabwa ilioangushwa kule Igunga akatukolezee hapa ili tuanze kupata picha ya siku ya June 10 ya CCM pale
CHADEMA SQUARE.

rushwa kwa watakaosombwa na malori ni shilingi ngapi?
 
Chadema mara zote ni kiongozi,,,,wameenda kwenye kambi zao huko kusini naomba ccm waje kanda ya kaskazini wafanye mikutano hasa arusha,,,,,
 
Wakuu ahsanteni sana kwa habari nzuri kama hii! Itanibidi nifanye booking ya bus mapema maana nipo mbali na Dar ili hiyo siku ya jmosi nifike hapo dar kwenye uwanja wa CHADEMA SQUARE nile wali na pilau vya kutosha maana kuna siku sijapiga kipunga du....
MAGAMBA YA KOBE OYE............
 
Back
Top Bottom