CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012.....

haya hapa
View attachment 55779
wakiwalizimisha watu hapa ila wanabahati mbaya sana kwani j3 tunaanza ue so ili kumshawishi mtu aende inabidi watoe fungu la uhakika sana, Me nilipanga kutokosa kutumia ela ya bure nngefika jangwani tu nngechukua fungu langu then nngerudi udsm kwa ghafla sana ila ue inathamani kuliko elfu tano ya ccm, watajibeba safari hii pale magamba yakianza kuwawasha, na huku hamna hamasa kabisa naona hata mbandika tangazo alilibandika usiku na sidhanikama linaweza fika mpaka asubuhi likiwa bado salama
Kumbe UE imeanza? Wala msikubali kupanda mafuso Kama mizigo waambieni mnataka V8 ili msome madesa yenu comfortable
 
haya hapa
View attachment 55779
wakiwalizimisha watu hapa ila wanabahati mbaya sana kwani j3 tunaanza ue so ili kumshawishi mtu aende inabidi watoe fungu la uhakika sana, Me nilipanga kutokosa kutumia ela ya bure nngefika jangwani tu nngechukua fungu langu then nngerudi udsm kwa ghafla sana ila ue inathamani kuliko elfu tano ya ccm, watajibeba safari hii pale magamba yakianza kuwawasha, na huku hamna hamasa kabisa naona hata mbandika tangazo alilibandika usiku na sidhanikama linaweza fika mpaka asubuhi likiwa bado salama
Nimeshalichana hili tangazo lao hapo Hall 5!
 
Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa .iwaje leo ccm nao wanajifanya ni wapinzani wa serikali yao . Huu ni upunguani wa ajabu kabisa .acheni kucheze peza za walipa kodi.
 
Hayo maneno yenu mmeyataka wenyewe sasa mwaiona ngodo mwafunga milango!!!!! Watu wanahofu na mkutano, wanaanza kudhani yatakayozungumzwa....na kujikosha kuwa watu watafata pesa 5000 na si mkutano!!!!! Tulieni mshikwe!acheni sababu za kufikirika
 
Nimeshalichana hili tangazo lao hapo Hall 5!

...Kwanini uchane hilo tangazo,kama wewe haujalipenda kwanini usiache ili na wengine walisoma na kuamua kwenda au kudharau?kama CCM imejifia,hii hofu yako ya kuigopa watu kuliona hilo tangazo inatoka wapi?...hii ni dalili ya utoto,kama upo under 18 nitakuelewa,otherwise akili itakuwa haiendani na umri...
 
Baada ya miaka 50 ya uhuru MWENENDO (TREND) WA CCM YAMEFIKIA HAPA:-
1. Ubunifu -0%
2. Upeo - 0%
3. Upembuzi wa mambo 0%
4. Uongozi na Madaraka kwa Umma 0%
5. Ufisadi na uporaji wa mali za umma- 100%
6. Kujuana na kubebana katika huduma na uchaguzi 100%
7. Kudanganya wananchi kuhusu maisha yao 100%

Hawa watatueleza nini Hapo Jangwani? Maana wao WANACHUKUA, WANAWEEEKA, WAAA! 2015 HATUDANGANYIKI NG'O
 
...Kwanini uchane hilo tangazo,kama wewe haujalipenda kwanini usiache ili na wengine walisoma na kuamua kwenda au kudharau?kama CCM imejifia,hii hofu yako ya kuigopa watu kuliona hilo tangazo inatoka wapi?...hii ni dalili ya utoto,kama upo under 18 nitakuelewa,otherwise akili itakuwa haiendani na umri...
Sasa wewe unatokwa na kamasi za nini?!!
 
Hayo maneno yenu mmeyataka wenyewe sasa mwaiona ngodo mwafunga milango!!!!! Watu wanahofu na mkutano, wanaanza kudhani yatakayozungumzwa....na kujikosha kuwa watu watafata pesa 5000 na si mkutano!!!!! Tulieni mshikwe!acheni sababu za kufikirika
Gamba at work!
 
Kitu cha kuangalia kama nembo ya huo Mkutano

* Njano na kijani Uwanja Mzima

- T-Shirt za Njano;
- Khanga za Njano & Kijani;
- Vilemba vya Njano na Kijani;
- Kofia za Kijani au Njano;
- Malori ya Mchanga au Vicoaster vyabeba watu kwa nguvu toka Vingunguti Magurumbasi au toka Nyuma
ya Sunguratex.
- Kama Mama ntilie hawapo basi kuna masinia ya Wali, Maharagwe na Nyama ya Ng'ombe Saafi na Maji.

HAPO MKUTANO NI MTAMU HASWA WENGI HATUSIKII, USINGIZI MNONO UNAITA - NI KAMA TUMEENDA SHORT SHOPPING KWENYE MALL.

WAOEM a.k.a NYINYIEM wameishiwa! Jana niiona TOYOTA Land Cluser nyeupe majira ya saa kumi na moja jioni eneo la barabara ya Morogoro DSM ilikuwa imebeba spika zilizochoka na halikuwa na hata chembe za utambulisho wa chama chao (Bendera wala zile nyimbo zao za mipasho). Nilishindwa kupiga picha kwa kuwa nilikuwa kwenye daladala naelekea Magomeni.

MY TAKE: Kama utambulisho wa Nchi au Chama chochote kiwe cha mpira au siasa ni NYIMBO, BENDERA na NEMBO ambazo aidha nyimbo hurekodiwa kwenye vifaa vya electronically na Bendera pamoja na Nembo huwekwa kwenye vitambaa, Plastic, Chuma na hata karatasi. Sasa kama moja kati ya hayo yasipoonekana basi ujue ndo kusema aliyekuwa anafadhili kuyafanya haya ameiingia mitini?:A S 20:
 
nani atakuwa msemaji hapo kesho? kwani kama ni :
Mwinyi anajiita mzee wa uhuru
Mkapa _ubinafsishaji kila kona ya tanzania na
jk _ari ya kushuka kwa uchumi,
kasi ya kuongezeka kwa mafdisadi akiwemo yeye
kuwekeza nguvu mahakamani
 
See Mungu wawekee Giza na utelezi katika njia zao zote watu hasa angalia jinsi wanavyotutesa kwa kulala malizetu wabyonge na kunufaisha maisha ya wakati watz wakiyeseka na kuuliwa kilasiku wakidai Haki zao na maisha mema ambapo wao wanatunyonya njiazaozote zisifanikiwe kwani wamelebga kutudanganya na kutulaghai Usiku zote ili watutawale na kufaidi hashish letu!
 
Wamesha andaa mafuso ya kubebea watu pamoja na 5000 za kugawa?
Hilo tena?
Siku nyingi tu mbona. Unajua CCM badala ya kusema wamefanya nini kwa mud wote huo, wamekazania kupiga kampeni utadhani wanagombea madaraka kama vyama vingine.
 
Mchele ndio maana umeadimika sokoni......

mchele.jpg
 
mie nitaenda kwenye mkutano kama tu haya yatafanyika
1.jk kujiuzulu urais
2.mkapa na watu wake wakamatwe wawe gerezani kabla ya kesho
3.mawaziri wote walio ondolewa kazini wafunguliwe mashitaka
4.washushe bei ya vitu mara moja kama umeme sukari ada za shule
5.wafute ukuu wa mkoa na wilaya
6.wauze shangingi zote
.
.
.
.
.
.
.
 
Chama tawala kinapofikia hatua ya kushindana na wapinzani tena kwa kuwaiga baadhi ya mbinu basi ujue vuguvugu la mabadiliko limeshika kasi.
 
Back
Top Bottom