CCM kufanya maandamano Dar ili kuwafunika CHADEMA?

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.

Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kamwe hawawezi kushindwa na chama kidogo kama chadema hivyo wao CCM wanakuja na maandamano ya funga mwaka ili kuzima kelele zote za chadema.

Kila mkoa ambao chadema wanakwenda kufanya maandamano CCM wanakwenda kusafisha mazingira.

Maandamano hayo ya CCM jijini Dar yatahusisha wakazi wote wa Dar na viunga vyake vyote ili kuwafundisha chadema maana halisi ya maandamano.

Acha upepo upulize tuone nyeti za kuku.
 
CCM CHAMA CHANGU, TUSIIGE UTOTO WA CHADEMA, >Nimemaliza.
Tuimarishe matawi ya chama chetu, tuhakiki wanachama wetu, tutoe kadi mpya, tusajili wanachama wapya.
UHAI WA CHAMA UNASHIKILIWA NA MASHINA, ACHENI HAO WASHUGHULIKE NA VYAUPEPO!
SISI CCM TUIMARISHE DATA BASE YETU YA WANACHAMA TOKA MILIONI 7,TULIOPO SASA TUFIKIE MILIONI 15.
 
Saaafi saana....
Ma VX yawe mengi kupindukia madereva nao wapate posho
Halafu Mwenezi wa CHADEMA naye azunguke kama wa CCM tuone nani zaidi.
 
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.

Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kamwe hawawezi kushindwa na chama kidogo kama chadema hivyo wao CCM wanakuja na maandamano ya funga mwaka ili kuzima kelele zote za chadema.

Kila mkoa ambao chadema wanakwenda kufanya maandamano CCM wanakwenda kusafisha mazingira.

Maandamano hayo ya CCM jijini Dar yatahusisha wakazi wote wa Dar na viunga vyake vyote ili kuwafundisha chadema maana halisi ya maandamano.

Acha upepo upulize tuone nyeti za kuku.
Wana kero gani mpaka waandamane
 
Pazuri hapo ili tuweze kuupima uongozi wa mkoa wa DSM chini ya RC Albert Chalamila atakuwa na mikakati gani kulifanya jiji la DSM libaki salama.....
 
Wana kero gani mpaka waandamane
Kupinga hoja za uongo zilizowakilishwa na chadema kwani nyingi ni mfu na hazina msingi wowote!
N. B, Tunaomba kifungu ndani ya katiba kinachoruhusu maandamano kuwa haki ya kimsingi kiondolewe kwani kimepitwa na wakati, na pia ni hatari kwa usalama wa taifa endapo hakita pata msimamizi makini kama Muliro, kwa kusimamia.
 
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.

Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kamwe hawawezi kushindwa na chama kidogo kama chadema hivyo wao CCM wanakuja na maandamano ya funga mwaka ili kuzima kelele zote za chadema.

Kila mkoa ambao chadema wanakwenda kufanya maandamano CCM wanakwenda kusafisha mazingira.

Maandamano hayo ya CCM jijini Dar yatahusisha wakazi wote wa Dar na viunga vyake vyote ili kuwafundisha chadema maana halisi ya maandamano.

Acha upepo upulize tuone nyeti za kuku.
Kwamba Maandamano ya CCM yatahusisha Wakazi wote wa Dar....!???

Eeeh...! Hivi ndo mmekua mkiwadanganya Mazuzu kila siku.
 
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.

Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kamwe hawawezi kushindwa na chama kidogo kama chadema hivyo wao CCM wanakuja na maandamano ya funga mwaka ili kuzima kelele zote za chadema.

Kila mkoa ambao chadema wanakwenda kufanya maandamano CCM wanakwenda kusafisha mazingira.

Maandamano hayo ya CCM jijini Dar yatahusisha wakazi wote wa Dar na viunga vyake vyote ili kuwafundisha chadema maana halisi ya maandamano.

Acha upepo upulize tuone nyeti za
Ningewaunga mkono kama wangeandamana kwa sababu ya hali mbaya ya maisha halafu wale vibaka wazoefu bado wamekalia viti wanamsumbua mbunge aliyesema ukweli yaani kulindana!
 
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.

Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga kufanya maandamano hayo ya kumpongeza Rais Dr. Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kamwe hawawezi kushindwa na chama kidogo kama chadema hivyo wao CCM wanakuja na maandamano ya funga mwaka ili kuzima kelele zote za chadema.

Kila mkoa ambao chadema wanakwenda kufanya maandamano CCM wanakwenda kusafisha mazingira.

Maandamano hayo ya CCM jijini Dar yatahusisha wakazi wote wa Dar na viunga vyake vyote ili kuwafundisha chadema maana halisi ya maandamano.

Acha upepo upulize tuone nyeti za kuku.
CCM IFANYE MAANDAMANO KUANZIA DAR ZANZIBAR PEMBA TANGA MUSOMA MTWARA KAGERA RUKWA KILIMANJARO WAMALIZIE DAR HAPO WATAKUWA WAMEWAFUNIKA CHADEMA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom