CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012.....

yani sasaivi kila wanalo anzisha CDM,CCM wanajaribu kufuatisha kama si kuwakebehi
 
Ccm bwana....., kajiteteen kwa wananch mmewafanyia nin kwa miaka 50, na issue ya kujivua gamba imefikia wapi...
 
Tunaomba mfike kwa wingi wakaazi wa dar,ubwabwa utakuwepo pia chama kimeandaa kofia kanga na t shirts za bure!

Usiwe na wasiwasi kwani hata waliopo Mikoani kuna mafusso mengi tumeandaa kwa ajili ya kuwaleta ili Jangwani pawe na watu wengi kuliko wale waliohudhuria siku ya CDM.


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!!
 
Hivi leo kuna mtanzania asiyejua mstakbar wa taifa hili chini ya uongozi wa ccm?.For sure Tanzania chini ya ccm ni kuelekea kuzimu maana all indicators(muungano,wizi wa madini,polisi mabomu na risasi zidi ya wananchi,religious extremisms na CCM) leading us to a total collapse as a nation.

Mkuu, bado wapo watu wasiojua mustakabali wa taifa. ndo hao wanaojitahayari kwenda kwenye mikutano ya CCM kwa kupewa ubwabwa tu.
 
Halafu Taarifa hii ya Mkutano wa CCM ndani CDM square zimetoka kwa wamiliki wa Malori ya Mizigo lakini huku mitaani watu wanasema bila buku tano kutoka hawaendi. vilevile maprinter huko kariakoo wako busy kuchapisha card za CDM ili Magamba wawape watu warudishe ionekane wanachama wa CDM wamehamia CCM maprinter wengi wanasema huwa wanapata faida kubwa kutokana na mikutano ya magamba
 
Wao wakifanya mkutano na maandamano Mh Kova kimya anasema wao wapo madarakani hawafanyi maandamano bali ni mapokezi,CDM ikipata hayo mapokezi watambiwa yatakuwa na uvunjifu wa amani.
 
Ngurumo ya upako!
Chadema watashindana lakini hawatashindaaaaaaa!
kwetu hakuna kudumaaaa!
CCM kiboko yao!
CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mfa maji haachi kutapatapa.
siku zake zimeisha
zama za kuwa wadanganyika zimepita
wanapoteza muda kuwahadaa wananchi waliokwisha amshwa na M4C
 
Kama kweli mkutanoni watatoa 5000 tujitokeze kwa wingi ili kurudisha pesa walizokwapua na baada zisaidie M4C.
kwa sasa wkitoa pesa zichuliwe na kuchangwa kwa ajili M4C.
 
Chama kisicho na plan wala strategy!!
Wanachofanya wenzao nao wanafuata kwa nyuma!!
 
naomba uwajibu kuwa hatutakuja kwenye mkutano, MUSTAKABALI WA NCHI IPI?51yrs mlikua mnafanya nini?TUSEME CCM imetosha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom