CCM nao wameamua kufanya mkutano Viwanja vya Jangwani jijini Dar jumapili hii ili kushindana na Chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona Chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa M4C wiki iliyopita.
Je, wana JF hili limekaaje la Chama cha Mapinduzi kutaka kushindana na CDM?
Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na Mwenyekiti wa Chama chao yaani J.K mkuu wa nchi.
Tunaelekea wapi?
Nawasilisha.
Wakuu ahsanteni sana kwa habari nzuri kama hii! Itanibidi nifanye booking ya bus mapema maana nipo mbali na Dar ili hiyo siku ya jmosi nifike hapo dar kwenye uwanja wa CHADEMA SQUARE nile wali na pilau vya kutosha maana kuna siku sijapiga kipunga du....
MAGAMBA YA KOBE OYE............
ccm nao wameamua kufanya mkutano viwanja vya jangwani jijini dar jumapili hii ili kushindana na chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa m4c wiki iliyopita.
Je, wana jf hili limekaaje la chama cha mapinduzi kutaka kushindana na cdm?
Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na mwenyekiti wa chama chao yaani j.k mkuu wa nchi.
Tunaelekea wapi?
Nawasilisha.
tulianzisha vua gamba vaa gwanda wameiga kwa vua gamba na gwanda vaa uzalendo
tumefanya mkutano cdm squire nao watafanya hapo hapo na wao wataita waoem squired
endeleza mambo wanayoiga
hiyo siyo rushwa mkuu ni takrima....hahahahaharushwa kwa watakaosombwa na malori ni shilingi ngapi?
vipi kuhusu kuchangia chama?na wao watatembeza kapu la sadaka ?
mswahili ni yule ambaye lugha yake ya kwanza ni kiswahili....matendo mabaya hayana kwao, wamesema wahenga...kk wewe ni mzungu? mwarabu? muhindi? au mchina?....jikwamue kutoka utumwa wa kimawazo...jiamini mswahili...!nchi inaongozwa na mswahili hii. mtakoma, bado miaka mi3 mbele.