CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012.....

Ni haki yao kufanya mkutano, ila tu wasivunje sheria za nchi kwa kusomba watu kwa maroli ili kuwaaminisha watanzania kwamba wanapendwa.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Wafanye faster kabla wanafunzi wa pr na walim wao hawajaenda likizo ili wakajaze uwanja jangwani kwa lazima
 
CCM nao wameamua kufanya mkutano Viwanja vya Jangwani jijini Dar jumapili hii ili kushindana na Chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona Chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa M4C wiki iliyopita.

Je, wana JF hili limekaaje la Chama cha Mapinduzi kutaka kushindana na CDM?

Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na Mwenyekiti wa Chama chao yaani J.K mkuu wa nchi.

Tunaelekea wapi?

Nawasilisha.

Kumbe ndio maana yuko Arusha anafanya mazoezi ya kutembea ili asianguke jukwaani. Ngoja nijiandae kupanda FUSO na kuchukua buku 2 za standing allowance, maana mikutano ya Nyinyiemu haijai bila posho na khanga
 
Chadema mara zote ni kiongozi,,,,wameenda kwenye kambi zao huko kusini naomba ccm waje kanda ya kaskazini wafanye mikutano hasa arusha,,,,,

Huku kwetu Arusha tutawapiga mawe jukwaani manake tuna hasira na magamba sana
 
kwani hapo ndo mwisho wa siasa za bongo wakuu kubishana kama umejaza watu au haujajaza, huu ni upuuuzi!
 
Kumbe kufanya mikutano ni exclusive right ya CDM, vyama vingine visifanye.

Sasa chama tawala hakina ulazima kufanya hiyo mikuta kinachotakiwa ni wao kutimiza ahadi walizotuahidi na sisi lazma tukipende kama wametimiza ahadi zao waliotuahidi. Ila magamba wako kama watoto wadogo wanakopi na kupesti kila kitu kutoka kwa chadema.
 
Hebu subiri nile msosi wangu kwanza ndio niulize agenda za mkutano huo vinginevyo naweza kushindwa kula msosi wangu bureee
 
Kumbe kufanya mikutano ni exclusive right ya CDM, vyama vingine visifanye.

sijaona watu wakisema ccm hawana rights za kufanya mkutano.... what i read ni watu wana speculate nini kitatokea nk
 
mleta uzi kutakua na pilau au wali nije na kachumbari na parachichi???nipige kipunga nisepe!
 
Magamba waendelee kuganga njaa, wanakumbuka shuka wakat kumeisha kucha,? Wajipange mwendapole chadema anakuja! White house... Kuwakomboa watanzania
 
Kumbe huyu nape alikua anambishia Maige alipomwambia na wao wafanye mikutano huku anakubali kiaina eeh!?i hop mkuu atatusomea waraka wa kamanda lema jukwaani.
 
Kuna MALORI mangapi kwenda kusomba watu mikoani kwa ajili ya huo mkutano?? M-agesti hausi yatakavyojaa jijini kati ya tarehe 7 na 14 kwa ajili ya mkutano wa CCM hiyo mwenzenu sipati picha.

Kwani hao chadema ? chadema ndio wamezoea , kila wanapoenda kufanya mikutano lazima maroli yaje kutoka arusha! SISI WA DARISALAM TUPO NA TUTAENDA kwenye mkutano na tutakusanya mpaka vijukuu vya wazee wa gerezani!
 
siku hiyo sahani hizi zitakuwepo msikose Ubwabwa.jpg
 
Back
Top Bottom