CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012.....

CCM nao wameamua kufanya mkutano Viwanja vya Jangwani jijini Dar jumapili hii ili kushindana na Chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona Chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa M4C wiki iliyopita.

Je, wana JF hili limekaaje la Chama cha Mapinduzi kutaka kushindana na CDM?



Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na Mwenyekiti wa Chama chao yaani J.K mkuu wa nchi.

Tunaelekea wapi?

Nawasilisha.

Unamaanisha Chadema[SUP]2[/SUP]

 
Wakati cdm ikichangisha fedha za kuendeleza mageuzi kutoka kwa wahudhuriaji, ccm inagawa fedha kwa wahudhuriaji kwa nia ya kukwamisha mageuzi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
2.JPG

Inafanana kama hili linatokea Amani vile
 
Kwa thatha haviitwi viwanja vya jangwani ni CHADEMA SQ...,Hv nan ana namb za Al-shaabibi?kova ajasema intelegnce kuhusu cku hyo.Aah nlisahau chama chama magamba huwa Al-shaabb hawapo.sasa Nyani anaona kundule linawaka moto,anaamua kukalia pini.Vp mzee wameisha andaa malori yakuwabeba wajingawajinga?NA ITAONESHWA KWENYE "UWONGO WA UHAKIKA"
 
Hapo mabasi na maloli Fuso kwa wingi kubeba watu wapembezoni na mji! mi naandaa kamera wakishusha watu wa kukodi kwenye mkutano wao MAGAMBA na photoa 2, aibu! na Sare zao nowdaz wanavalia mkutanoni mtaani aibu.Kuwa Magamba kunataka ujikoseshe akili vile uwe ka mwendawazimu. Watizame hata wanaojitambulisha eti Mie MAGAMBA ye mwenyewe aona AIBU. Taabu ya nini ujikondeshe kuwazia chama cha Mafisadi wao wananenepa we wakonda, Mafua tiba india we Hata Mkopo wa mwanao chuo Hakuna.
 
tulianzisha vua gamba vaa gwanda wameiga kwa vua gamba na gwanda vaa uzalendo
tumefanya mkutano cdm squire nao watafanya hapo hapo na wao wataita waoem squired
endeleza mambo wanayoiga
Wanaweza kuiga kila kitu lakini hawatakuwa na mbavu za kuomba michango ya kuimarisha chama kama Chadema inavyofanya. Baadala yake wao ndio watakaowahonga wananchi.
 
ccm nao wameamua kufanya mkutano viwanja vya jangwani jijini dar jumapili hii ili kushindana na chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa m4c wiki iliyopita.

Je, wana jf hili limekaaje la chama cha mapinduzi kutaka kushindana na cdm?

Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na mwenyekiti wa chama chao yaani j.k mkuu wa nchi.

Tunaelekea wapi?

Nawasilisha.

asije akaanguka tena jukwaani maana huwa anakawaida ya kupata kizunguzungu akiwa jangwani. Mzee makamba hayuko tena kumpeleka kwa wataalam na shehe wa magomeni alishafariki!!
 
ccm wanatakiwa kuanza kampeni zao zanzibar,dodoma na morogoro kwani hizi ni kambi bikra za ccm.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
CCM nao wameamua kufanya mkutano Viwanja vya Jangwani jijini Dar jumapili hii ili kushindana na Chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona Chadema imejaza watu sana kwenye mkutano wao wa M4C wiki iliyopita.

Je, wana JF hili limekaaje la Chama cha Mapinduzi kutaka kushindana na CDM?

Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na Mwenyekiti wa Chama chao yaani J.K mkuu wa nchi.

Tunaelekea wapi?

Nawasilisha.

Ni haki yao kuiga ubunifu mdogo ndiyo matokeo yake hayo.Nini mwenyekiti walete hata wastaaf wote sidhani kama itasaidia.
 
Wana Jf, vipi tar 10 kunamechi ngani kitaifa? Vipi test mlimani? Vipi intellencia ya Kova? Tusibiri malori na pilau!! CCM poleni sana au ndio mnataka kujitetea kwa Hon Lema? Mungu ibariki M4C. Amen
 
Yasemekana mkutano huo utahutubiwa na Mwenyekiti wa Chama chao yaani J.K mkuu wa nchi.

Thubutu! Kwani mara hii keshasahau mizimu ya Jangwani, jamani msitutafutie balaa...kumbukeni Shehe Yahya kishatangulia mbele ya safari na tunguli zake! On the other hand, well, whatever happens who knows! All's well that ends well but...
 
Kama Kweli wanataka kulipiza waje Arusha hapa NMC tuone, Au Leganga Primary Arumeru (a.k.a Usa-River Airpot).
 
El,mwakiembe,nape watakuwepo na watakaa pamoja,pia shibuda atapewa nafasi ya kuhutubia
 
Back
Top Bottom