Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,998
- 32,441
Mfumo wetu wa uchaguzi unawezesha raisi kuwa wa chama chochote bila kujali wabunge wa chama chake watakuwa wangapi ingekuwa rais anachaguliwa na wabunge maoni yako yangehold water kwa sababu kura zinapigwa separately na idadi ya wabunge sio prerequisite ya kupata uraisi.
Pia inawezekana wangeungana na vyama vingine ili kuunda serikali au wangebadilisha katiba iruhusu mawaziri kutoka nje ya wabunge hapo wangeweza kuwapata wataalamu kushika nafasi zao kwa mfano waziri wa ulinzi awe mjeda, waziri wa elimu awe mwalimu waziri wa afya awe dactari nk
Nadhani umeelewa kidogo mkuu ritz!!!
Mkuu, Chadema wameishasema na tumeona jinsi walivyounda serikali kivuli, walisema wazi hakuna chama makini cha upinzani zaidi ya Chadema..
Na wakajitangaza rasmi kuwa Chadema ni kambi rasmi ya upinzani huku wakiviacha njia panda vyama kama NCCR Mageuzi, TLP, CUF, UDP..
Sasa kama wameshindwa kuwakaribisha wenzao kwenye kwenye kambi ya upinzani bungeni wakichukuwa na nchi ndio wataweza?
Kuhusu kubadili katiba hawawezi sababu katiba si mali ya Chadema ni mali ya watanzania