CCM bado ina muda mrefu sana wa kuongoza, ni zaidi ya 2020

Mfumo wetu wa uchaguzi unawezesha raisi kuwa wa chama chochote bila kujali wabunge wa chama chake watakuwa wangapi ingekuwa rais anachaguliwa na wabunge maoni yako yangehold water kwa sababu kura zinapigwa separately na idadi ya wabunge sio prerequisite ya kupata uraisi.
Pia inawezekana wangeungana na vyama vingine ili kuunda serikali au wangebadilisha katiba iruhusu mawaziri kutoka nje ya wabunge hapo wangeweza kuwapata wataalamu kushika nafasi zao kwa mfano waziri wa ulinzi awe mjeda, waziri wa elimu awe mwalimu waziri wa afya awe dactari nk
Nadhani umeelewa kidogo mkuu ritz!!!

Mkuu, Chadema wameishasema na tumeona jinsi walivyounda serikali kivuli, walisema wazi hakuna chama makini cha upinzani zaidi ya Chadema..

Na wakajitangaza rasmi kuwa Chadema ni kambi rasmi ya upinzani huku wakiviacha njia panda vyama kama NCCR Mageuzi, TLP, CUF, UDP..

Sasa kama wameshindwa kuwakaribisha wenzao kwenye kwenye kambi ya upinzani bungeni wakichukuwa na nchi ndio wataweza?

Kuhusu kubadili katiba hawawezi sababu katiba si mali ya Chadema ni mali ya watanzania
 
very low

digging an iceberg, eating rubber and washing with suphuric acid

why dont you go and play with your children and receive blessings

instead you shoot rotten egg here
 
Kwenye tume iliyokwenda kumuona Rais ilikuwa kazi kuiunda je baraza la mawaziri wataweza??????? bado sana hata hivyo waendelee kujipanga pengine baada ya miaka hamsini mingine wanaweza kuwa wamepevuka kisiasa.
 
Mkuu, Chadema wameishasema na tumeona jinsi walivyounda serikali kivuli, walisema wazi hakuna chama makini cha upinzani zaidi ya Chadema..

Na wakajitangaza rasmi kuwa Chadema ni kambi rasmi ya upinzani huku wakiviacha njia panda vyama kama NCCR Mageuzi, TLP, CUF, UDP..

Sasa kama wameshindwa kuwakaribisha wenzao kwenye kwenye kambi ya upinzani bungeni wakichukuwa na nchi ndio wataweza?

Kuhusu kubadili katiba hawawezi sababu katiba si mali ya Chadema ni mali ya watanzania
ritz acha ushamba wa akili unataka kukaribisha vyama vingine kwani hili ni pilau?
nccr wana malengo yao,cuf wana malengo yao na chadema wana malengo yao.au unafikiri hapa ni zanzibar?
nyerere alichukua tanganyika na wasomi 12 wewe unashangaa vichwa 48?
 
Chadema mtaongozaje Dola wakati hamna itifaki?
Hivi nani awe Rais, nani awe waziri na kabineti yenu ita comprise nani na nani? Hapa ninamaana nani ambaye yuko experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi ambazo ni za kisiasa?
Hivi huyu Lema ndo aje kuwa waziri? Au Wenje? Au Mchg. Natse?
Acheni unafiki.
Chadema bado sana.

Kuongoza ka sehemu kama kilimanjaro wanaweza ila sio Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chadema mtaongozaje Dola wakati hamna itifaki?
Hivi nani awe Rais, nani awe waziri na kabineti yenu ita comprise nani na nani? Hapa ninamaana nani ambaye yuko experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi ambazo ni za kisiasa?
Hivi huyu Lema ndo aje kuwa waziri? Au Wenje? Au Mchg. Natse?
Acheni unafiki.
Chadema bado sana.

mkuu this is friendly question...itifaki maana yake nini?
 
Hivi hapo ulipo uliingia kwa experience???? Fikiri kabla hujaamua Mapurende, kama ni mzee sawa!! Ila kama wewe ni kijana hili taifa linaporomoka, inamaanisha huwezi fanya lolote isipokuwa ama umesimamiwa ama ama umeenda shortcourse!! Wakeup mzee...
 
Junior Member Array Join Date : 5th December 2011
Posts : 4

Rep Power 0

Kajiunga jana na tayari ana post 4, ndo walewale waliotumwa, pumba tupu, unawaza kimasaburi tu huku akili yako ikiwa kama ya hilo lichama lililokutuma.Kwa hiyo unataka kutambia wanaoweza kuongoza ni hao walitusababishia kuwa NCHI YA TATU KWA UMATONYA DUNIANI.Shame on u.
 
serikaali ilioko imeshindwa kupanga miji ,dar na maputo ni miji mibovu duniani mvua ikinyesha dakika 5 gari hazipiti maji yamejaa,hakuna maji ya uhakika dar mpaka mpanda,hakuna ndege ila tuna viwanja kama cha mwanza mvua ikinyesha ndege haziruki,train,hakuna umeme wa uhakika,dawa hakuna kuna dispensary na hospital, hakuna barabara kumbuka zilizopo ni za kichina ,serikali gani imeshindwa kutatua mgogoro wa muungano mpaka leo 50 yrs
wanyama ,dhahabu,tanzanite ,almas zinachukuliwa daily wakati serikali yako inapiga risasi raia wakienda kuokota magangwala........aaaagh
halafu unakuja na hoja ya kijinga kwenye magreat thinker
 
pole sana mapurende sijui kwa nin mnashindwa kuthink big rather dan being mindly limited na kudanganywa na hao wazee, mzee experience has no school, class or trainings so simply i can say dat experience das not lead som-1 into perfection na u have to know kwamba hata hao unaodhani wanaexperience hawakuzaliwa viongoz na km wana experience why wanavurunda na kufanya maisha kuwa bora ya jana killa kukicha, uongoz ni kuwa na vision and vision is an art of seeing things invisible, sanuka fasta kikjana uskariri kwamba kila njia iliyo nyooka inaelekea bethelehem nyingine zinaelekea jehanam
 
hivi experience inapatikanaje bila kupewa nafasi kwa nini uandikie mate wakati wino ungalipo wape nafasi kwa kukipigia kura then uone nini watafanya, kwani Mwl Nyerere alikuwa na experience gani wakati anapigania uhuru wa Tanganyika?
Obama na McCain nani alikuwa na experience kubwa zaidi na kwa nini wa marekani walimchagua Obama mwenye experience ndogo na kumuacha mwenye experience kubwa?
Fikiria kwa kutumia ubongo kidogo basi halafu ndoo upost!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sikupenda kuchangia, ila nadhani kuna kitu ambacho inabidi tuwekane sawa. Unapozungumzia suala la uongozi wa nchi unazungumzia kitu ambacho ni very sensitive. mimi si mshabiki wa siasa za kutukanana ila ni mfuasi wa constructive and scientific politics. Mtoa mada, amefanya analysis na kugundua kuwa Chadema ina wabunge 23! hivyo si busara kupewa nchi waiongoze KWA SASA, hii inamaanisha wale watu 23 ndiyo true picture ya serikali ya Chadema itakavyokuwa. Ninakuhakikishia Chadema wanaweza kupewa kuongoza nchi kwa nafasi ya uraisi(sijui ni nani kati ya unaowajua, Dr. Slaa? Marando? Mnyika? Zito Kabwe? Mdee?...). Ila yeyote kati ya hao atakayepewa huo uraisi hatoweza kuongoza nchi kutokana na sababu zifuatazo. Kwanza CCM inaonyesha katika kipindi cha miaka 10 ijayo(endapo chadema itachanga vizuri karata zake) bado CCM itakuwa na uwiano mzuri wa wabunge kuliko chama chochote cha siasa hapa nchini, na hii inamaanisha kama serikali ya chadema itakuwa na wabunge theluthi moja, ni lazima theluthi mbili ya mawaziri watoke CCM(Soma katiba) na kwa hili serikali itakuwa bado ni ya CCM! Spika wa Bunge penda ukatae lazima atakuwa wa CCM kutokana na wingi wa kura za wabunge wa CCM. Wakuu wa itifaki waliopo sasa hivi ambao ni experienced ni wahafidhina wa CCM. Jeshi, kinadharia tunasema halina chama, ila usijidanganye sana mjomba(haya mambo huyajui). Unapomzungumzia hiyo serikali ya chadema, kwangu bado naiona hiyo serikali ya chadema tunayoitaka itupeleke katika tanganyika tunayoitaka bado haijawa tayari. Ukirudi kwenye mifano sahihi, Chadema hakina mizizi sahihi ya kuweza kusimama kama chama, na hata hao wabunge 23, angalia vizuri na ndani yao utakuta karibu nusu ni mamluki wa CCM, ukianza na Dr. Slaa mwenyewe(fuatilia wapi alipotoka na kwa nini yupo pale?), Shibuda? Marando? na wengine kibao si wa kuaminika na hata wanapokaa kwenye NEC zao fuatilia utaambiwa matatizo kibao. Huyo unayemwita Mr. Obama, fuatilia kwa makini na utaona ni kwa nini alipewa nchi! Huyu jamaa hakupewa nchi kutokana na kuwa hana experience wala kutokana na kuwa alipewa kwa kuwa kwake mwafrica ili apate popular sympath na kuwaonyesha jamaa si wabaguzi, hilo silo! Alipewa nchi kwa kuwa aliandaliwa miaka 33 pamoja na wenzie 11 ambao wote walifuzu katika advanced trainings za kijasusi na system za USA, alipewa uraisi kwa ajili ya kuimarisha uhusiano wa USA na Israel, yeye obama akiwa anadamu ya Jews (soma ujue nini faida ya israel kwa Taifa la Marekani), na zaidi hakuachiwa nchi, ila alipewa Vice President mwenye experience ya hali ya juu. Kama CDM wapo desperate kuitaka nchi, sawa tutawasaport lakini watupe tentackes kiutawala, kimfumo, na strategies zisizo na longolongo. Wangekuwa stable, wasinge enda ikulu kunywa soda, kuutangazia umma yamekwisha, na kesho yake kukurupuka na kudai wameuzwa! Tuwaamini vipi? Tusichangie kishabiki, tufanye critica thinking kidogo.
 
unashindwa hata kufiiria kidogo kuhusu uwezo wa chadema, mi nadhan ni makosa makubwa sana kwa eco-system kumaintain watu wenye mawazo ya early 20th-century in the 21st century
 
Mkuu MAPURENDE,
Umeongea maneno ya ujenzi ni kweli unachosema..
Huwezi kuunda serikali wakati una wabunge 23 tu.
Baraza la mawaziri litakuwaje, na huko bungeni mnatapitishaje bajeti zenu wakati mpo wabunge 23 tu.

Na sijui serikali yenu ingekuwa na ukubwa gani..
Naomba mwana Chadema ajibu hii

Mkuu kwavile umezoea mfumo wa maslahi ya chama kwanza, ndio maana ni rahisi kwako kuamini haya uliyaandika.

Pia mfumo wa kiserikali ambao CHADEMA daima kinapendekeza (wa kutotumia wabunge katika nafasi za serikali yaani katika executive organs) ilo la kuwa na wabunge 23 wala si hoja ya msingi. Hapa pia kwavile umezoea kutokana na mfumo wa serikali za CCM za kuwa na wabunge ambao ni mawaziri, makatibu wakuu wa wizara ambao ni makada wa chama, wakurugenzi makada, wanachama wa bodi za mashirika ya umma, makada etc.

Hivyo wala sikushangai wewe kuwaza hivyo.
 
Chadema mtaongozaje Dola wakati hamna itifaki?
Hivi nani awe Rais, nani awe waziri na kabineti yenu ita comprise nani na nani? Hapa ninamaana nani ambaye yuko experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi ambazo ni za kisiasa?
Hivi huyu Lema ndo aje kuwa waziri? Au Wenje? Au Mchg. Natse?
Acheni unafiki.
Chadema bado sana.

Naomba nichepuke kidooogo kwenye mada. Mimi huwa najiuliza sana: Hivi ni kweli nikiwapa CDM kura yangu kutakuwa na ajira za kutosha, elimu bure, Cement tsh. 5000, miundombinu mizuri, umeme kama mamtoni, mishahara mizuri, na mambo kama hayo au na wao watapata upenyo wa kujineemesha. Maana mtu akiwa na shida anajidai mwema sana ila akishapata dharau kibao...
 
Mgombea Mwenza Wa Chadema Mwaka Jana Alikuwa Na Elimu Ya STD 7, Mwizi wa Magari Tutampa Waziri Wa Mambo Ya Ndani, Form Four Failure Sugu Waziri Wa Habari na Michezo, Form Four Vicent Nyerere Wizara Ya Elimu...Form Four Msigwa Wizara Ya Tamisemi,..Shibuda Tutamfikiria...SIPATI PICHA BARAZA LA MAWAZIRI KWA MTINDO HUU, MANAKE WABUNGE WASOMI WA KUHESABU
 
Mkuu MAPURENDE,
Umeongea maneno ya ujenzi ni kweli unachosema..
Huwezi kuunda serikali wakati una wabunge 23 tu.
Baraza la mawaziri litakuwaje, na huko bungeni mnatapitishaje bajeti zenu wakati mpo wabunge 23 tu.

Na sijui serikali yenu ingekuwa na ukubwa gani..
Naomba mwana Chadema ajibu hii

Mkuu kwavile umezoea mfumo wa maslahi ya chama kwanza, ndio maana ni rahisi kwako kuamini haya uliyaandika.

Pia mfumo wa kiserikali ambao CHADEMA daima kinapendekeza (wa kutotumia wabunge katika nafasi za serikali yaani katika executive organs) ilo la kuwa na wabunge 23 wala si hoja ya msingi. Hapa pia kwavile umezoea kutokana na mfumo wa serikali za CCM za kuwa na wabunge ambao ni mawaziri, makatibu wakuu wa wizara ambao ni makada wa chama, wakurugenzi makada, wanachama wa bodi za mashirika ya umma, makada etc.

Hivyo wala sikushangai wewe kuwaza hivyo.
 
Junior Member Array Join Date : 5th December 2011
Posts : 4

Rep Power 0

Kajiunga jana na tayari ana post 4, ndo walewale waliotumwa, pumba tupu, unawaza kimasaburi tu huku akili yako ikiwa kama ya hilo lichama lililokutuma.Kwa hiyo unataka kutambia wanaoweza kuongoza ni hao walitusababishia kuwa NCHI YA TATU KWA UMATONYA DUNIANI.Shame on u.
Kujiunga jana sioni ka ni tatizo,..Hz post nne ni nyingi sana au chache!? We ulitaka aanze kutoa post zake lini baada ya kujiunga!? Ushauri wangu,watu wajibu hoja siyo kuwa nani kaingia lini. Ikawa sababu ya yeye asieleze kile anachokifahamu,.Unaweza ukawa umejiunga toka JF ilipoaanza na ukawa unapost utumbo ..
 
Junior Member Array
Join Date : 5th December 2011
Posts : 4

Rep Power : 0

Umenifurahisha kusema kwamba hawana watu experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi na kisiasa..!!?
Kumbe taifa letu limefika hapa lilipo kwakuwa kuna watu wazoefu kuongoza, kumbe umaskini huu ni kutokana na uongozi wenye uzoefu, kumbe kukosa umeme, kuingia mikataba ya kinyonyaji, elimu duni, uhaba wa dawa hospitalini nk. ni lulu ya viongozi wenye uzoefu.

Kama hivyo ndivyo ilivyo hakika cdm ni wanafiki, kuna haja ya kuwaambia wananchi juu ya huo unafiki ili wa uelewe na kuchukua hatua madhubuti kuwakataa wanafiki... ahahahahaha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom