Mkuu MAPURENDE,
Umeongea maneno ya ujenzi ni kweli unachosema..
Huwezi kuunda serikali wakati una wabunge 23 tu.
Baraza la mawaziri litakuwaje, na huko bungeni mnatapitishaje bajeti zenu wakati mpo wabunge 23 tu.
Na sijui serikali yenu ingekuwa na ukubwa gani..
Naomba mwana Chadema ajibu hii
Umewasahau Prof Kahigi,Prof Baregu,Prof Safari,Dkt Mabere Marando,Mh Tundu Liss,Mh Mdee etc.Kama unazungumzia elimu mbona humsemi std 7 Lukuvi tena amekabidhiwa na Wizara kabisa.Na vp kuhusu elimu ya Majimarefu?
Mkuu, mbona unataja nusu nusu elimu za viongozi wetu! Ebu tutajie basi elimu ya Mwenyeki wetu Freeman Mbowe, na Mbunge wetu kipenzi Godbless Lema, na Mbunge Joseph Mbilinyi!
Wakati wa uchaguzi mkuu, kwenye kampeni za urais na wabunge nilimsikia Dr. Slaa alisema akichukuwa nchi serikali itakuwa na wazari 15 na manaibu 15..
Wamekwenda bungeni wameunda Baraza la Mawaziri kivuli 24..
Chadema bado sana kuunda serikali
jambazi wa magari awe waziri wa naniChadema mtaongozaje Dola wakati hamna itifaki?
Hivi nani awe Rais, nani awe waziri na kabineti yenu ita comprise nani na nani? Hapa ninamaana nani ambaye yuko experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi ambazo ni za kisiasa?
Hivi huyu Lema ndo aje kuwa waziri? Au Wenje? Au Mchg. Natse?
Acheni unafiki.
Chadema bado sana.
Inaonekana haujui sera ya CHADEMA Kuhusu baraza la mawaziri.Hawa hawatakua wabunge.Kwa hiyo kwa kusema wabuinge 23 wawe serikali you are wrong.CHADEMA Kina wabunge 23 walio bora na intelligent kuliko mamia ya wabunge wa CCM maborgus.Tutaunda serikali ndogo yenye watu smart and brilliant.
Mkuu MAPURENDE,
Umeongea maneno ya ujenzi ni kweli unachosema..
Huwezi kuunda serikali wakati una wabunge 23 tu.
Baraza la mawaziri litakuwaje, na huko bungeni mnatapitishaje bajeti zenu wakati mpo wabunge 23 tu.
Na sijui serikali yenu ingekuwa na ukubwa gani..
Naomba mwana Chadema ajibu hii
Jamaa huwa hawajibu hoja kwa hoja. Usiwashangae hao. Huwa hawaongei kwa kutumia midomo bali huongea kwa kutumia njia ya haja kubwa.
Chadema mtaongozaje Dola wakati hamna itifaki?
Hivi nani awe Rais, nani awe waziri na kabineti yenu ita comprise nani na nani? Hapa ninamaana nani ambaye yuko experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi ambazo ni za kisiasa?
Hivi huyu Lema ndo aje kuwa waziri? Au Wenje? Au Mchg. Natse?
Acheni unafiki.
Chadema bado sana.
Chadema mtaongozaje Dola wakati hamna itifaki?
Hivi nani awe Rais, nani awe waziri na kabineti yenu ita comprise nani na nani? Hapa ninamaana nani ambaye yuko experienced kushika nafasi muhimu za kiuongozi ambazo ni za kisiasa?
Hivi huyu Lema ndo aje kuwa waziri? Au Wenje? Au Mchg. Natse?
Acheni unafiki.
Chadema bado sana.
Bila shaka ujui chama ambacho kinaunda serikali kinabidi kiwe kimepata viti vingapi vya wabunge.CDM inaweza kuunda vizuri serikali iwapo watanganyika watakubali kikipa ridhaa kuongoza taifa.
Kama umepiga hesabu ya wabunge 23 leo jua 2015 CDM yaweza pata viti 200 kitu ambacho kitafanya CDM kuongoza taifa hili.
Yupi huyo?Au yule Diwani wa CCM kule Kigamboni ambae anashikiliwa na Polisi kwa UJAMBAZI wa magari?Kweli nyani haoni ***** le!jambazi wa magari awe waziri wa nani