Mkuu wangu sijuhi uelewa wako wa historia ya mageuzi ya nchi hii. Kufikia hatua hii wanamageuzi wamefanya kazi kubwa kwa uzalendo wa chi yao na itabakia ktk kumbukumbu za historia ya nchi yetu. Wamepambana na Chama Dola ambacho muda wote kimetumia ujinga wa Watanzania walio wengi kutawala kimabavu. Kwamba wapinzani bado haya ni mawazo ya mtu masikini wa akili. Ningependa nikujulishe ktk historia ya mabadiliko yote duniani uanzia mijini ktk tabaka la wafanyakazi,siyo vijijini! Siku Watanzania walioko mijini wakiikataa CCM,wakulima hawatakuja mjini kuitetea! Wafanyabiashara wakubwa wa Kihindi wameisha ichoka CCM na wameanza kuhamisha biashara na mitaji kwasababu wameishaona anguko. Vijana wasomi ndiyo chachu ya mabadiliko makubwa ya kisiasa umeanza kushuhudia ktk Tanzania siku za karibuni. Umeandika post ya kijinga!Kwa mwenendo uliopo ndani ya vyama vikubwa vya upinzani yaani CHADEMA; CUF na NCCR-MAGEUZI sioni chama kinachoweza kutimiza utabiri wa Nyerere kuwa wapinzani wanaweza kuchukua nchi mwaka 2015. hizi ndizo sababu za kushindwa kwa utabiri wa Nyerere:-
1. Vyama vya upinzani vimeshindwa kufikisha ushawishi vijijini
2. Vyama vya upinzani vimeshindwa kupenyeza ushawishi kwa wafanyabiashara wakubwa
3. Vyama vya upinzani vumeshindwa kuingiza ushawishi kwa watendaji wataalam
4. Vyama vya upinzani vimeshindwa kuyaishi mawazo vinayodai kuwa ni mbadala kwa maendeleo ya nchi
5. LAST but not least; vyama vya upinzani vimeshindwa kutueleza vinafuata nadhalia ipi kati ya soko huria na soko kiritimba hali hii inadhihirisha nia dhalimu walio nayo hawa wapinzani!!
COCLUSION: Mnaoota ndoto za upinzani kushika nchi mwaka 2015 amkane na achaneni na hizo ndoto za mchana!!