za maombi

  1. Extrovert

    Kutumiwa meseji za maombi ya urafiki

    Natumaini mu wazima. Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu...
  2. peno hasegawa

    DOKEZO Waziri wa Madini, Tume ya madini Wilaya ya Songwe na Chunya wanafanya overlapping (kwenye mfumo) maombi ya leseni za wachimbaji wadogo

    Kuna kilio kikubwa sana sana kwa wachombaji wadogo maeneo ya songwe na chunya. Kilio hiki kinasababishwa na watumishi wa tume ya madini kuomba maombi ya leseni ndogo za wachimbaji wadogo ndani ya maombi ya leseni iliyokwishwa kuombwa ili ukilipia ionyeshe aliyeomba awali alichelewa kuomba kwa...
  3. K

    Tunaomba turudishiwe fedha zetu za maombi kutokana na ugawaji wa viwanja kwa upendeleo jijini Mwanza

    Ni masikitiko makubwa kuona upendeleo wa dhahiri wa ugawaji wa viwanja katika Jiji la Mwanza. Wote tulitangaziwa kuomba viwanja hivyo kwa ada ya Tshs.20,000 kwa kila kiwanja lakini cha kusikitisha waliopata viwanja ni vigogo ambao hata hawakufika kuchukua fomu na kuzijaza. Hivi ni kweli mtu...
  4. francois voltaire

    Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    wanabodi salaam. Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata.. Naomba kwa anayejua anisaidie plz Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
  5. Roving Journalist

    HESLB imetoa siku nne kwa Wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022, kukamilisha taratibu za maombi yao

    HESLB YATOA SIKU NNE WAOMBAJI KUFANYA MAREKEBISHO BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa siku nne kuanzia Oktoba 4-7, mwaka huu kwa wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022 kufanya marekebisho ili kukamilisha taratibu za maombi yao. Ili kupata taarifa za...
  6. M

    Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

    Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii 1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi 7. Leo Askofu anatangaza dua...
  7. Suley2019

    Malawi yaanza siku tatu za maombi dhidi ya Corona

    Katika kuendelea kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona, Serikali ya Malawi imetangaza kuanza kwa siku tatu za kufunga na kumuomba Mungu awaepushe dhidi ya janga la virusi hivyo vinavyoendelea kuisumbua dunia. Katika taarifa ya serikali, Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera ametangaza...
  8. S

    Maombi juu ya Corona: Kanuni za maombi ziko wazi - waombe msamaha uliowakosea ili maombi yako yasikilizwe, la sivyo unajisumbua bure!

    Nadhani wengi tunapenda kurahisisha sana suala la dini. Suala la kutaka taifa litoe maombi ili tuepuke ugonjwa wa Coronavirus ni nzuri - lakini je, mbona tunakuwa wepesi kusahau kanuni juu ya maombi? Kanuni ziko wazi, ikiwa kama taifa tunataka mombi yetu yasikilizwe, basi kama taifa kwanza...
  9. Filipo Lubua

    Mnapoendelea na Siku Tatu za Maombi, Msisahau Kusoma Aya Hizi

    Mnapoendelea na siku tatu za maombi, msisahau kusoma aya hizi: "Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. [kwa hiyo] kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote na hamkukubali karipio langu, mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, nitawadhihaki wakati janga...
  10. Breezyman

    Ni taratibu zipi natakiwa kuzijua kwenye uombaji wa cheti mbadala kutoka NACTE

    Msaada wa pendwa cheti changu cha Diploma kimungua kwa ajari ya moto, nimekwama baada ya kushindwa kupata muongozo kutoka kwenye website ya NACTE. Ni kiasi gani cha fedha na muda wa kupata hicho cheti mbadala ni upi?
Back
Top Bottom