Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,109
- 173,914
Natumaini mu wazima.
Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu namba zao ila naishia kuwapa moyo tu kuwa nishasevu.
Je, kuna yeyote ambaye nae ashapitia hio situation? Kwangu inakuwa kama kero sasa maana hazipiti siku 2 lazma watakuja wawili au watatu tofauti. Hofu yangu isije ikawa mabaharia wameweka picha za mashori kwa ajili ya kuvuna nauli za hapa na pale kama ukishobokea ngozi 🤣