tuelimishane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bullshit

    Tuelimishane Quran

    Quran 5:47 fafanuzi ((sisi tuliwaamrisha wafuasi wa issa watu wa injili wakristo..)) Issa ni muislamu inakuaje wafuasi wake ni wakristo?. Quran 2;121 Allah anasema eti aliwapa watu wa kitab injil na zabur na torat. Watu wa kitab ni wakina nani?. Quran 4:171 Allah anawambia watu wa kitaab...
  2. 44mg44

    Njooni tuelimishane

    1. Je mwezi nao huwa una mizunguko miwili Kama Dunia yetu? 2. Kama mwez hauna rotation bas huwa tunauona sehem ya upande mmoja tu, au mim nko wrong?? 3. Kama mwez haujizungush kweny mhimili wake Ni sababu gan ya Kifizikia inayosababisha Dunia iwe na rotatiion na revolusion badala ya revolusion...
  3. Chizi Maarifa

    Kuna Ukweli katika hili? Tuelimishane kutokana na uzoefu

    Why watu flani huharibu pesa kwa makusudi? Nlikutana na hili jambo pia mwaka jana nlienda Mtwara kwenye Mgahawa mmoja karibia kila change waliyotaka kunipa ya note imechanwa pembeni. Nlikataa sababu sikupenda pesa ambayo imechanwa. Ila nikaja ambiwa ni mambo mambo tu ya binadamu.
  4. S

    Tuelimishane: Mapinduzi ya kijeshi hupangwa na kufanyika vipi ili hali majeshi huwa na vikosi vingi tena sehemu tofautitofautoi za nchi?

    Wote ni mashuhuda wa taarifa za mapinduzi ya kijeshi sehemu mbalimbali duniani hasa Afrika kwa nyakati za sasa. Binafsi nimekuwa najiuliza haya mapinduzi huwa yanafanyikaje ili hali Jeshi huwa lina askari wengi tena katika sehemu mbalimbali za nchi. Kwa mfano, kikosi au vikosi katika mji mkuu...
  5. To yeye

    Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

    Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka. Yaani bila kutarajia mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka. Nikisema iliingia kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya tulipanga nami nilijiaminisha kwa sababu kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss, nimelipata bwana! We...
  6. S

    JF Marubani, naomba yeyote anayefahamu kuhusu Ndege inavyoruka na kutua tuelimishane haya

    Habari ndugu wadau! Naomba mwenye ABC Kuhusu masuala ya urubani atusaidie kujibu kwa ufafanuzi machache kuhusu ndege inavyoruka na kutua. Pamoja na mengine; Naomba ufafanuzi 1. Kazi ya kifeni kule mbele kulikochongoka ni nini? 2. Je ndege inayoruka ndani ya Tanzania inatakiwa kutembea umbali...
  7. Msanii

    Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

    Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe. Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake. Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi...
  8. M

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Wanabodi ninakerwa na jambo hili naomba tujadili. Hivi serikali ni nani? Nilidhani ni wananchi ambao wanawakilishwa na Bunge? Kutokana na majadiliano yanayoendelea bungeni kuhusu mikataba ambayo serikali haitaki ijadiliwe sisi kama wananchi ambao tumewachagua wabunge hawa tunapenda kuonyesha...
  9. sky soldier

    Safari za mabasi: Tuelimishane maandalizi muhimu kabla ya safari ndefu

    Toilet paper - Siwezi kujisafisha na yale maji ya vyoo vya kuchimbia dawa. Vidonge vya Fragyly (endapo tumbo likizingua) na panadol (kichwa kikiuma) Sinunuagi chakula njiani, huwa kinapkwa asubuhi nakiweka kwenye hotpot Maombi, haya ni muhimu kabla na baada ya safari. Kuchaji simu / power...
  10. Fredwash

    Tuelimishane kuhusu Mbunge, kuvunjwa kwa Bunge na Baraza la Mawaziri

    Naomba Kujuzwa yafuatayo Rais anapofungwa Bunge, je Bunge ndio linakuwa limevunjwa rasmi kwa maana ya Ubunge wa Mbunge unakoma? ( kwa maana ninavyofahamu pamoja na mtu kushinda/kuteuliwa kuwa mbunge ubunge wange unaanza rasmi pale alipokasimiwa/apishwa rasmi Bungeni). 2. Kama Bunge...
  11. B

    Tuelimishane: Uzalendo na Ucha Mungu wa Rais Magufuli ni upi?

    Ninalalizimka kuandika uzi huu kulingana na mwendelezo wa tafakuri zitokanazo na hotuba pendwa ya mheshimiwa huyu hasa ya hivi karibuni tokea pande za kule Chatto. Katika hotuba yake Chatto mheshimiwa hakuwa na maneno mazuri sana kwa yeyote mwenye mtizamo wa kuwatenga watu katika kupambana na...
  12. R

    Tuelimishane: Misinformation about lemon as a 'cure' for coronavirus

    No, lemon in hot water is not a 'cure' for COVID-19 “We’re not just fighting an epidemic; we’re fighting an infodemic,” the director-general of the World Health Organization (WHO), Dr Tedros Adhanom Ghebreyesus, said in February. Since then, the coronavirus has evolved into a global pandemic...
  13. Filipo Lubua

    Mnapoendelea na Siku Tatu za Maombi, Msisahau Kusoma Aya Hizi

    Mnapoendelea na siku tatu za maombi, msisahau kusoma aya hizi: "Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. [kwa hiyo] kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote na hamkukubali karipio langu, mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, nitawadhihaki wakati janga...
Back
Top Bottom