DOKEZO Waziri wa Madini, Tume ya madini Wilaya ya Songwe na Chunya wanafanya overlapping (kwenye mfumo) maombi ya leseni za wachimbaji wadogo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,461
Kuna kilio kikubwa sana sana kwa wachombaji wadogo maeneo ya songwe na chunya.

Kilio hiki kinasababishwa na watumishi wa tume ya madini kuomba maombi ya leseni ndogo za wachimbaji wadogo ndani ya maombi ya leseni iliyokwishwa kuombwa ili ukilipia ionyeshe aliyeomba awali alichelewa kuomba kwa sababu pale alikoomba tayari kuna maombi ya zamani kabla yake. Wimbi hili ni kubwa. Na limekidhiri sana.

Mbinu wanayotumia unakuta mchimbaji mdogo aliomba PML, Mfano 127568/SWZ Tarehe 2.6.2023.

Kwenye eneo hilo hilo au lile lile la hii PML number unakuta imewekwa maombi mengine mfano PML 117386/SWZ.

Sasa kiuhalisia mfumo wa tume hautakubali aliyeomba awali kulipia kwa sababu PML 117386/SWZ inaonyesha kuwa ndiye aliyeanza kuomba kumbe sio kweli, hii imekuja kuingizwa baada ya yule wa awali kuomba na kukubaliwa.

Maombi hayo wachimbaji wadogo waliomba na yamekuwa overlapped na maombi mengine ni mengi sana.

Cha kushangaza tume inawajua na data wanazo kwenye mfumo wa tume na wanayaona ila ukiwauliza wanasema mama amefungua nchi!

Sasa kufungua nchi ni kutemper na mfumo wa tume ya madini kwa kuchukua maeneo ya wachimbaji wadogo kwa hila!

Ninaomba Time ya madini maaso makuu ifike na ipitie maombi ya wachimbaji wadogo kwenye mfumo wataona mengi na watawajua wahusika, na iwapo hali hii haitadhibitiwa kuna uwezekano wa serikali kupoteza mapato na kuibua vurugu na hali ya taharuki kwa wachimbaji wadogo.

Mtindo wa Maombi ya leseni PML za mbele kuombwa na kuingizwa hapo ya nyuma kuonyesha kuwa namba ya awali ndiye aliyeanza kuomba yamezidi Chunya na Songwe.

Serikali ichukue taadhari ya haraka mfumo wa tume ya madini umeingiliwa.
 
Una hoja ya msingi
 
Back
Top Bottom