1 WAKORINTHO 7:3-5
"Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena...
Hakikisha una uhakika na ushuhuda wenyewe, kwamba:
1. Umekutokea wewe binafsi,
Au
2. Umeushuhudia kwa mtu mwingine,
Au
3. Umesimuliwa na mtu ambaye unaamini hakukuongopea.
Karibu🙏🙏🙏
Ukikaa ukafikiria karibia vitu vyote vinavotumika kutangaza neno la Mungu vinatengenezwa na watu wasio amini upande wa mungu au wanamwabudu shetani,
Mfano: Magari, vinanda, vipaza sauti, majenereta, magari, kiujumla ni kila kitu mpaka hizo mitambo ya kuchapisha hivo vitabu.
Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya...
Ilishanitokea mara nyingi, japo sikujua sababu hasa. Nilijua roho yangu huitikia vizuri sana nyimbo zenye jumbe za Neno la Mungu.
Hata kama nilikuwa nikitembea njiani huku nafsini najisika kukaukiwa au hali ya utupu, nikipita sehemu wanakopiga wimbo mzuri unaokubaliana na Maandiko Matakatifu...
Picha: Nape Nnauye
Habarini JF GT!
Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu.
Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
Naona taratibu sasa Mwamposa anataka Kupunguza Waumini wake ili akajikite sasa Kusimamia Miradi yake mingi na Biashara zake nyingi zenye Utajiri mkubwa kuliko Umasikini Uliokomaa wa Waumini wake wanaomuona Mungu Mtu hapa Dar es Salaam na Tanzania.
Kwasababu kama ni Maombezi hayo ya Uwongo na...
“Akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe”, Mt 4:6 SUV
Shetani alitumia Neno la Mungu kumjaribu Kristo kutenda dhambi. Pia lilikuwa ni jaribio la kumshawishi Yesu...
Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar.
Huko walijenga konventi ya shirika lao ili kuhudumia kiroho Wakristo toka Ulaya tu.
Misheni ilipingwa na Waarabu Waislamu na e kukoma mwaka 1698...
Habarini wadau.
Leo nimeona nitoe maoni yangu kuhusu watu hawa wanajiita mitume na manabii na masheikh.
Mtu anatumia mafuta, maji, chumvi nk. Wanajiita ni mitume na manabii; je, Biblia inasema hivyo? Ingawa sina rejea ya vifungu moja kwa moja lakin matendo ya Yesu akiwa duniani alifanya...
Mnapoendelea na siku tatu za maombi, msisahau kusoma aya hizi:
"Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. [kwa hiyo] kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote na hamkukubali karipio langu, mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, nitawadhihaki wakati janga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.