websites

  1. Wakili wa shetani

    Kwa nini nashindwa kufungua websites nikitumia mtandao wa Tigo?

    Nina kifurushi cha Tigo kwenye simu. Pia hutumia hicho kwenye kompyuta. Ajabu siwezi kufungua internet kwa kifurushi cha tigo. Ila youtube na instagram zinafanya kazi vizuri kabisa. Nikitaka kuingia kwenye websites kama hivi JF lazima nitumie kifurushi cha voda. Shida nini?
  2. kelvin_paul

    Natengeneza Websites, Information management systems, Android applications.

    Kwa anaehitaji huduma ya kutengenezewa website na softwares nyinginezo sikiwemo za kuratibu shughuli zote za biashara yako nk. Karibu tuzungumze kazi inafanyika katika viwango vya juu sana kwa gharama nafuu sanaa karibu 0783385667
  3. The Sheriff

    Indonesia yazuia Yahoo, Paypal kwa kushindwa kufuata sheria za leseni

    Indonesia imezizuia Yahoo, kampuni ya malipo ya Paypal na tovuti kadhaa za michezo ya mtandaoni kwa kushindwa kufuata sheria za leseni. Sheria zilizotolewa mwishoni mwa Novemba 2020, zinazipa mamlaka nguvu kubwa ya kulazimisha mifumo kufichua data ya watumiaji fulani, na kuondoa maudhui...
  4. H

    Rangi nyeupe imekuwa 'too much' kwenye websites nyingi na blogs

    Wataalamu wetu wengi wa hizi website na blogs rangi za screen zao ni black and white. Labda niulize kama ni sheria au lazima kutumia hii rangi ya black and white.Maana kila site unayoiona ni black and white. Kama ni sheria basi tuwekewe kifungu tuone. Pili rangi hiyo ni majanga sana macho...
  5. tzhosts

    Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  6. L

    Natafuta Wateja wa Websites. Niko Arusha

    Habari za wakti huu; Kwa jina naitwa Libera Niko Arusha ni binti wa miaka 22.Ninafanya biashara ya kuuza website na bidhaa nyingine za kidigitali.Mwanzoni nilikuwa nafanya shughuli ndogo ndogo lakini nikapata mwalimu akanifundisha jinsi ya kutengenza website kwa kutumia wordpress.Kwa sasa...
  7. tzhosts

    Websites Zinauzwa 135000

    Zipo website tatu; Kila moja inauzwa shilingi 155,000 ziko hosted kwenye wordpress cms.Unapata na emails za tano. Website ni za utalii na zina umri wa zaidi ya miaka 3. Ukinunua website hizi utapata punguzo la 20% na iwapo wamiliki wa website hizi watataka kuzigomboa basi watakuongezea 20%...
  8. Njunwa Wamavoko

    A need for Container Orchestration in government-traffic-intensive-websites: NECTA results case study

    Salaam Wakuu! Ni mda kidogo sija post katika Jukwaa hili. Nimeombwa na mtu hapa nimuangalizie matokeo yake ya Form Four. Nimeshangazwa kuona karne hii ya ishirini na moja, katika serikali ambayo ina promote na ku adopt ICT katika business operations zake, kuona kuna services zinakwama kuwa...
  9. Abdul Ghafur

    Tunahitaji kuundiwa websites na Android Apps

    Ikiwa unaweza au unamfahamu yeyote mwenye yjuzi wakutengeneza website sna android apps zenye ubora na viwango vya juu, tuna kazi za haraka. Taasisi ya Kijamii ya Kiislaam iitwayo Abraar ipo mbioni kuanzishwa na inahitaji websites na apps. Taasisi itakuwa na vitengo visivyopungua 5 au zaidi...
  10. JOESKY

    Msaada wa free educational websites

    Wadau habari za majukumu ya kila siku? samahani napenda sana kusoma online hasa kwenye website mbalimbali lakini sasa nataka nianze kusoma course zinazotolewa na free websites kwa ajili ya kujinoa zaidi na kuongeza maarifa kichwani ili kuweza kupambana na mazingira ya kuajiajiri. Napenda...
  11. Xzone

    List ya Websites za Kudownload Movies kwa MB Ndogo

    1. https://www.fzmovies.net/ Ni moja ya tovuti yenye mkusanyiko mkubwa wa sinema ambazo unaweza kuangalia kwenye simu au kompyuta yako. Pia Inaruhusu Watazamaji Kupakua Sinema. 2. Mobile Movies - Tovuti hii ilijengwa kwa ajili ya watu wanaotumia simu za kawaida(mobile), Sinema Zote Zipo...
  12. L

    Kama una uhitaji wa website au web application nitakusaidia kukutengenezea

    Habari wanaJF? Kama una uhitaji wa website au web application nitakusaidia kukutengenezea kwa muda kama ambavyo tutakubaliana Aina ya website nazotengeneza 1.Wordpress websites na blogs nafanya kwa shilingi laki mbili mpaka tatu 2.Website ambazo hazina database au static websites.Hizi...
  13. Liston Cosmas

    Natoa free hosting (kwa miezi 6) pamoja na kujenga websites na mobile apps

    Habari wadau! Kama kichwa kinavyosema, ninatoa huduma ya hosting bure kabisa kwa miezi 6 na pia kama unahitaji kua na website au mobile application (ios & android), pia utapatiwa kwa gharama nafuu sana. Napatikana kwa +255 768 55 8494.
  14. U

    Web Design and Development Services

    Kampuni ya Sumtech Company Limited ina tengeneza website ambazo zina security, user friendly, high speed and good catching design. Tunatengeneza website kwa watu tofauti base on religious, e-commerce, companies, educational, Ngo’s na kadhalika. Tunapotengeneza website tunaweza ku include vitu...
  15. mits

    Website Design, Domain registration & hosting

    Ni matumaini yangu wana JF mu salama kabisa, nawakaribisha kwenye huduma tajwa hapo juu kwa wahitaji wote wa website za aina zote, inaweza kuwa kwa biashara ndogo ya kati au kubwa, inaweza kuwa ya shule, hospitali au ngo pia tourisim company or agent websites. Zote hizo tunatengeneza kwa bei...
Back
Top Bottom